Je, Rais aliyepo Madarakani anaweza kutoa Ushahidi Mahakamani?

Ayse,Kuna haja ya katiba mpya
 
Hazungumzii kushtakiwa bali kutoa ushahidi
 
Samia siyo Mbowe, anayeweza kwenda mahakamani ni watu kama Mbowe, mh rais ni level nyingine.
 
Mada ni kutoa ushahidi,huyu anazungumzia kushtakiwa. Shule mnasoma ujinga?
 
Bottom line is Rais akiwa madarakani hutokaa umuone pale kizimbani kwa status yeyote ile.

Shahidi, mshtaki au mshtakiwa.
Uliweka sheria ya kuzuia rais kushitakiwa.. ingependeza ungeweka pia sheria inayozuia rais kutoa ushahidi kizimbani ndani ya mahakama. Achana na hisia, weka uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…