jimmy jeoff
Member
- Jul 29, 2019
- 77
- 109
Wakuu salaam.
Nimejaribu kutafuta Google sikupata majibu zaidi ya kushauliwa nisome katiba.
Hivi kwa wajuzi naomba msaada RAISI WA TANZANIA ALIYEPO MADARAKANI anaweza kutoa ushaidi Mahakamani?
Nakumbuka Raisi Mkapa aliwai kutoa ushahidi Kisutu kwenye kesi ya Prof Mahalu. Lakini alikuwa private citizen hakuwa madarakani.
Napiga picha mara vuuh Mbowe ana kesi ya kujibu, je mawakili wanaweza kuomba mahakama Summonce ya kumuita mama ajieleze alikuwa na maana gani alipoitangazia dunia kupitia BBC kuna akina Mbowe walikuwa wamehukumiwa kufungwa.
Msaada tafadhali.