Je Posho ya 40,000 Ni Ushindi wa kishindo ??

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja

Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na

kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??

Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !

Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????

Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?

Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
 
Back
Top Bottom