Kama Polepole asingejitoza wewe unadhani reform zingekuwa zimeshafanyika kwa sababu tu kuna watu wanapiga kelele? Polepole siyo mjinga... hawezi kudaka ajenda za CHADEMA kwa sababu wahuni wa CCM watapata sababu ya kufanya hoja yake isikubalike. Polepole ni mwanachama wa CCM na anapinga kilichofanyika ndani ya CCM.Hazungumzii kabisa reform
Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu
Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?
Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.
Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.
Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.
Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.
Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.
No reform no Election!!
Kwa hili I second you.Tapeli mkubwa,mimi mtu yoyote anayemsapoti JPM kwa namna yoyote nampinga sana!
I will go for SSH over JPM ,JPM ndio kafanya tupitie huu ushetani
Hazungumzii kabisa reform
Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu
Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?
Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.
Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.
Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.
Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.
Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.
No reform no Election!!
Anchokifanya slow slow ni kuituliza ccm ! Hakuna chochote anachofanya kusaidia Taifa hili ,,! Kuna jamaa zangu wa opposition nimewaambia hata maneno wakawa wakali mno wakidai mi ni pandikizi!!Hazungumzii kabisa reform
Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu
Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?
Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.
Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.
Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.
Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.
Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.
No reform no Election!!
Hazungumzii kabisa reform
Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu
Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?
Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.
Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.
Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.
Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.
Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.
No reform no Election!!
kasoro JK eeWanasiasa wote ni matapeli 🐼
Trojan.Hazungumzii kabisa reform

Wewe ndio wale wanasema nyama ya nguruwe haram mchuzi wake halal.Tapeli mkubwa,mimi mtu yoyote anayemsapoti JPM kwa namna yoyote nampinga sana!