Wapi huko mkuuKiukweli tunarudi nyumba kimaendeleo huwezi amini huku kwetu lita moja inauzwa 7,000
Changamoto ni nini?
Watatue tatizo hali za wananchi sio rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hii mbona kali sasa?inauzwa 7,000
Wanauza kwenye madum la maji ya kunywa hata lita yenyewe haifikiDuuh hii mbona kali sasa?
Kuna chawa mmoja wa Samia ukimwambia nchi ina uhaba wa dollar atabisha na kusema dollar zimejaa nchini kutokana na juhudi kubwa za Samia!!Uhaba wa dollar
Bado ina nafuu. Sitii neno zaidi. Na hiyo shukuru hisani ya vijana wenye uthubutu kukimbia kusaka yanakopatikana kwa hatari ya kubeba madumu hadi 12 (lita 240) kwa pikipiki. Wanakimbia kilimita zaidi ya 300. Imewapa nafasi ya kuigeuza changamoto kuwa fursa kwa angalau muda kidogo. Sema tu, endesha ya bodaboda na hatari ya hicho kimiminika na mpangilio wa bodi ya pikipiki!!!Duuh hii mbona kali sasa?
Huyo Chawa ni bogus mmoja kansababishia Ban kwenye akaunti yangu pendwa.Kuna chawa mmoja wa Samia ukimwambia nchi ina uhaba wa dollar atabisha na kusema dollar zimejaa nchini kutokana na juhudi kubwa za Samia!!
nani genta amaHuyo Chawa ni bogus mmoja kansababishia Ban kwenye akaunti yangu pendwa.
Sio ni sombdy mwashambwanani genta ama
hahahaha huyu jamaa na mayala ni mle mleSio ni sombdy mwashambwa
Jamii forums sijui wameanza kula rushwa nilipost kuhusu kuvuja kwa mitihani ya UTABIBU lakini wakafutaNaona uzi wa jamaa umefutwa unaohusu baadi ya maeneo nchini vituo vya mafuta kukosa mafuta hasa petrol.
Sasa nakazia, na huu uzi mods waufute tu kwa sababu hali halisi ndivyo ilivyo.
Baadhi ya maeneo nchini hasa wilayani huku mafuta hayapatikani hasa petrol.
Je, tatizo ni nini?
Mbona serikali haitolei ufafanuzi juu ya hili wakati wawakilishi wa serikali kila wilaya wapo ( Wakuu wa Wilaya)?
Kwani huko Dar petrol ipo?
Huku mikoani hasa wilayani hakuna petrol, na kama ipo inauzwa kwa maringo katika vituo vya mafuta. Ukweli ndio huo!
Dollar zimeadimika duniani kwa sababu The Fed wamepandisha interest rate. Nadhani unajua madhara ya kupanda kwa interest rate ya dollar.Tangu mume wa sabufa ateuliwe ndio uhaba wa mafuta unprecedented umeanza kujitokeza.
Lazima Kuna uhusiano wa moja kwa moja Kati ya uongozi wa huyu mtu na huu upungufu.
Sijajua Kama anajua Kama Tabora mjini hakuna mafuta.