Je pc ya Apple inaflashiwa

Je pc ya Apple inaflashiwa

Kinyayo

Senior Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
102
Reaction score
70
Wakuu msaada wenu tafadhali naomba mnasaidie kuwa laptop ya Mac Book Pro ya apple inaflashiwa kama laptop zingine, na kama ndiyo kuna madhara yoyote yaweza kutokea?...... Na kama haiflashiwi kwa nini?........
 
Back
Top Bottom