kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Kazi njema kama ipi?catholics wanawafanya watu kuwa wakristu but makanisa mengine wana kazi ya kuwafanya wakristu kuwa wakristu.Hamtaweza kuieneza injil kwa uwezo wenu huu wa kufikir bcz mnatumia mda mwing kuipinga ukatoliki kuliko kuipinga uislam na upagan.
very poor analysis.nenda kwa wazungu ukawaulize kama dunian kuna mkatolik anaitwa holy father(baba mtakatifu) hapa dunian.
kwa cc wakotolik BABA WA MBINGUNI YU MMOJA BUT BABA WA DUNIAN WAPO WENG.
BABA WA MBINGUNI NI CHEO BUT KUITWA BABA DUNIAN C CHEO BUT NI MAJUKUMU.
punguzen kumkarir mungu jaman mnatakiwa kuielewa bible na c kuikarir.
Baba wa kiroho jukumu lake ni kumlea mwanadam katika jins ambayo itamfanya arud mbingun.Mungu hawez kumpinga baba wa kiroho but anambariki kutokana na kazi njema anayoifanya.
JINA NI NENO TU,UNLESS YU ATTACH A MEANING IN IT.NEXT TIME UKILETA JINA ULETE NA MAANA YAKE.
Unanufaika nini ukitukana Quraan? kila sura katika Quran lazma kabla ya kuisoma unaanza kwa kusema. AUDHUBILAAH MINA SHEITAAIN RAJIIMQuran ni kitabu cha shetan alichompa jamaa mmoja anaitwa muddy miaka ya 600s
Je kusema jambo ndio kunalofanya kiwa sahihi? Nikisema mimi ni baba yako utakubali?l
Yule mwandishi wa Iran (aliyekimbilia uhamisho Ungereza)alisema Quran ni haya za nn vileee!!!
Kuna watu wana roho mbaya..........by Mkude Simba.....Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
Kama sijakosea umesema wasabato wana mauzauza mengi yanayopingana na biblia.sasa nataka uorodheshe matatu tu yanayopingana na biblia then weka matatu ya kikatoliki yanayoendana na biblia ikiwemo siku yenu ya kuabudu,au hta ukiacha la siku ya kuabudu maana litakutoa jasho.Here we go again. Seventh Adventists (Wasabato) at work. Yaani bila Papa na ukatoliki hamna dini. Hata hiyo misingi ya dini yenu huwa mnaihubiri saa ngapi kama kazi yenu kuu ni kupambana na Papa na ukatoliki 24/7? Nyinyi mnaamini nini? Wokovu unapatikanaje? Kwa kusoma na kufuata mafundisho ya Bibi Ellen G. White? Kwa kutokula samaki wenye magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua? Ni kwa kuabudu Jumamosi? Ni kwa kutokunywa chai, kahawa na soft drinks? Ni kwa kukurupuka na kuwa na kiherehere cha kuhusisha kila tukio na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo? Usabato ni nini? Mtu atakwenda mbinguni kwa sababu ni Msabato?
Inawezekana kweli Papa ni ajenti wa shetani lakini je, hili linawasaidiaje nyinyi kama Wasabato? Mbona mko so obsessed na Papa na Wakatoliki? Dini na madhehebu mengine yote yako sawa isipokuwa Wakatoliki? Au mna bifu la kihistoria na Papa na ukatoliki?
Samahani kwa maswali mengi na natumaini kwamba hutatoa povu na badala yake utajaribu kutuelimisha kuhusu kikundi hiki cha kifarisayo (washika sheria za Musa) kiitwacho Seventh Adventists. Ajabu ni kwamba kikundi hiki kina mauzauza mengi yasiyofungamana na mafundisho ya Biblia na badala ya kukazania kuondoa kwanza mabolti katika macho ya wafuasi wake kimekazania mabolti ya Wakatoliki.
Anyway, Happy New Year mkuu (kama mnaamini/mnasherehekea mwaka mpya)!
Imetoka aya gani hyo mkuuMpende jirani yako kama nafsi yako, hii ndio amri kuu na ya kwanza
Mauzauza kweli ni mengi mkuu. Ngoja nikutajie machache.Kama sijakosea umesema wasabato wana mauzauza mengi yanayopingana na biblia.sasa nataka uorodheshe matatu tu yanayopingana na biblia then weka matatu ya kikatoliki yanayoendana na biblia ikiwemo siku yenu ya kuabudu,au hta ukiacha la siku ya kuabudu maana litakutoa jasho.
Babako unamwitaje, acha umbumbu ndio maana mlienda airport kusafiri kutumia biblia.Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
Ujinga wako unaedit picha.Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
Leta picha real bas tufananisheUjinga wako unaedit picha.
Imetoka aya gani hyo mkuu
sisi tuna tasbihi nyinyi je au ndo mnaazimisha ya sodoma na gomora hahaha,nasubir ndoa yako mkuu ya kuolewa na dume jenzakoPovuuuuuuuu
Ukweli unabaki uislamu ni zao la katoliki
Hauon hata sanamu jiwe jeusi mnaliabudu, wenzenu wana rozali ninyi mna tasbihi hirizi
Duh...yaani huyu mshika Sabato, Siku ya Saba, Jumamosi.Haya ni mambo ya kiroho na ni unafiki kukaa umekazania makosa ya wengine kumbe hata unachopigania hukiishi. Ndiyo maana huwa nawadharau sana (na kuwaombea) wachungaji wanafiki wasiofuata yale wayahubiriyo. By the way hii ni ID nyingine ya huyo denti mleta mada?
Unalijua hili jukwaa la wakubwa analoliulizia? [emoji121][emoji121]. Tuacheni unafiki jamani na tukazanieni wokovu vinginevyo tutaangamia na madhehebu haya hayatatusaidia!
Hivi unajua kuwa UISLAMU ni dhehebu la katoliki?sisi tuna tasbihi nyinyi je au ndo mnaazimisha ya sodoma na gomora hahaha,nasubir ndoa yako mkuu ya kuolewa na dume jenzako
Jamaa unaonekana unapenda ligi alafu huna hoja inaoneka hasira na magazabu ya ksngHaujauona basi nawe ni shida
Nso umeandika nini sasa hahaha dahJamaa unaonekana unapenda ligi alafu huna hoja inaoneka hasira na magazabu ya ksng