Hapondi ukatoliki ila anaongea kweli ili wengi waitambue ? Lait wengi tungejua kweli hiii tungekuwa huru tena huru kweli kweli ila kwa kuwa wengi wamerogwa hata umueleze vipi atapinga bila kumkubali Yesu amfunulie hayo makando kando na uchafu itakuwa ngumu kujua kweli kuwa katoliki huwa wanaabudu pamoja na roho wachafu wakati wa litulujia na anayewaona ni padri tu wengine hamuwezi kuona ? Na kwa nini katika alyari kuna kaburi cjui la nini ? Ila linaitwa kaburi(tombe of...) ka.muulize padri wako je nini maaana ya Tombe (kaburi) ndio utaelewa

Vitisho vya nini mkuu? Nitishwe na denti wa 23 years kweli? Posts zote hizi ni public domain atamtisha nani?
Dogo bado anahangaika na dunia huku akiamini kuwa kwa vile anasali Jumamosi na anashika sheria za Mafarisayo wa kale basi ndo atakwenda mbinguni na wengine wote wamepotea. Self-righteousness and spiritual exclusivity can be a hell of a drug. Wanafiki wa aina hii hata Yesu mwenyewe Alikuwa Anagombana nao sana mpaka akawafananisha na majeneza. Nje yanang'ara ajabu lakini ndani yamejaa uozo wa kila aina; na akawataka sana kuondoa kwanza vibanzi machoni mwao ili waweze kuona vizuri vibanzi katika macho ya wengine. Hali ni mbaya na bila neema ya Mungu ni kazi bure. Mungu na Atusaidie!
Haya ni mambo ya kiroho na ni unafiki kukaa umekazania makosa ya wengine kumbe hata unachopigania hukiishi. Ndiyo maana huwa nawadharau sana (na kuwaombea) wachungaji wanafiki wasiofuata yale wayahubiriyo. By the way hii ni ID nyingine ya huyo denti mleta mada?
Unalijua hili jukwaa la wakubwa analoliulizia?
. Tuacheni unafiki jamani na tukazanieni wokovu vinginevyo tutaangamia na madhehebu haya hayatatusaidia!
Haya mambo ndio tunayo ya yasemea kwenye uzi mwingine huko mamlaka ya yesu yamepolwa na maria na sasa yakafata mamlaka ya mungu nayo yamepolwa na papa .. Hivi Haya maandiko hawa wa Rc wanayatowa wapi siwanipe namm niyasome