natanguliza shukrani wakuu wangu....mimi nimesomea coz ya b.admin ngazi ya cheti,na gpa ya 4.5,kwa bahati mbaya,cjaweza kuendelea na masomo kwa wakati huu,ila nia yangu nlitaka nipate ufafanuzi kuhusu coz za diploma hapo chuoni...kwenye kada ya biashara,na pia ningependa kujua kama kunauwezekano wa kuaply diploma kwenye kada tofauti km. education.,