Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.
mmh majan ya kunde kwan we aujawai kumega nje.......?
m just askng.
Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.
Mimi sijawahi....twaweza kwenda pm kidogo tafadhali?:tonguez:
acha utundu
ntakupm na ntakuesemea kwa m+++++++!
twende km vp....tangulia naja...!!!!
acha utundu
ntakupm na ntakuesemea kwa m+++++++!
twende km vp....tangulia naja...!!!!
Hivi Rose1980 mbona mimi huwa nakuonea wivu????????natamani kweli.................!!!!!!
Ukiona kuna kiongozi mkuu unakaa kimya....kwa masilahi ya chama...
bacha na roya roy basi mii natangula ......atakayewai kuja ndo uyo uyo akiwa shimbo sawa akiwa mwema poa tu!!!!!!!
sa wewe basha iweje unionee wivu?na wewe roya iweje upige mikwara wenzako....?
natangulia ......wa kwanza takes ol!!!!!!

Rose1980, siwezi tena kusema hapo kwani kiongozi wangu Roya,ameshaninyooshea kidole!Ila kwakuwa sheria ya infidelity inasema kizuri kula na mwenzio basi ngoja atangulie yeye, najua roya ni mzuri katika kushirikisha members!
mbona umejichanganya ? badala ya kutafuta tatizo ulitatue wewe utalikimbia tena!!?Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.
Hii issu inatakiwa ukae na mke/mme/Bf/Gf uongee nae mambo ya kumtumia mwizi message itakusaidia nini bana
Anza na huyo wa ndani aliyeamua kufanya infidelity