Je, nyumbani kwako kunavutia?

Je, nyumbani kwako kunavutia?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,320
Habari,

Je, nyumbani kwako kunavutia na kuwa eneo zuri zaidi la kupumzika?

Kama jibu lako ni ndio tiririka hapa.

Je, ni vitu gani vinaifanya nyumbani yako kuwa sehemu nzuri.

Je, ni mpangilio gani unafanya nyumbani yako kuwa sehemu salama.

Karibu.
 
Habari,

Je, nyumbani kwako kunavutia na kuwa eneo zuri zaidi la kupumzika?

Kama jibu lako ni ndio tiririka hapa.

Je, ni vitu gani vinaifanya nyumbani yako kuwa sehemu nzuri.

Je, ni mpangilio gani unafanya nyumbani yako kuwa sehemu salama.

Karibu.

Kuvutie bila pesa!? Ebu ondoa uzi wako ama uuposti kwenye ukurasa wa Facebook wa mama Samia.
 
Me nahisi kutavutia zaidi baada ya October Lowassa akiingizana White House
 
Watz wengi wanaishi stoo ujue....


(Nimenukuu tu mahali jamani)


Anyway....sijui kama panavutia ila.....

- eneo ni la kutosha sehemu yenye utulivu kuepuka kelele na heka heka za siku nzima

- rangi zilizotulia ambazo hazipigikelele na kuchosha

- mpangilio wa sitting room unaovutia, ambao hauna makorokoro na kuifanya nyumba ijazane na kuboa

- chumba cha kulala chenye nafasi kubwa ya kutosha ambacho hakijajazwa makorokoro (urundikaji wa vitu hufanya nyumba kukosa utulivu)
 
Mkuu M45, Nyumba yangu haina mpangaji leo mwaka wa3, natafuta asie na makazi aishi kwa mda tu !!!
 
Last edited by a moderator:
Kutakuwa na majini hapo, miaka mitatu?
Hii, Ram nimekuwepo jijini kwenu kwa 2weeks mbona sijakona kukusikia wewe?!!?
Kuhusu majini siyo issue...!! Sote ni viumbe tunaishinao mzungukoni..... ni namna ya kujikinga nao tu!!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom