Sasa utakatifu unatafutwa kwa nguvu.
Sasa utakatifu unatafutwa kwa nguvu.
Afufuliwe Nyerere kwa jina la Yesu.
sasa mfikie huko wapi?wakati ndipo mlipo?Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.
sasa mfikie huko wapi?wakati ndipo mlipo?
Mtakatifu Faiza Foxy punguza wivu. Huyo mzee bado hajafikia daraja la utakatifu. Hawezi kukupata, wewe uko juu sana.
Mtu mmoja aliyewashinda waswahili kumi na ushee wa mtaa wa gerezani..kweli nyerere alikuwa kidume.
Dar es salaam, hakuna mtaa wa Gerezeni labda Machame
Sasa utakatifu unatafutwa kwa nguvu.