Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,574
- 12,317
Mbona huko Iran USA bado anahangaika naoIkiwa Russia kapewa mfupa (Ukraine autafune) basi US akitaka anaweza akaingia vitani na mtu yoyote yule akiamua. Leo hii ndani ya Russia vita vipo, a nuclear state vita vimefika nchini kwake, North Korea ni nani mbele ya Russia. Wazungu wapo kimikakati sana na wanapiga hesabu za miaka mingi mbele.