Yangu ni kumtafuta guru wa security kama hilo eneo bado hujawa master. Mlipe guru fanya sehemu yako afanye sehemu yake.
My doubt is kama tunaweza kupata window za billgate utafanya nini kuwazuia watu ambao kazi yao ni kuhack na kutumia vya wenzao.
Zingatia wazo la mdau hapo juu. Weka gharama ndogo ili hacker asishawishike maana haitamlipa.
Jambo lingine unda virus, mkuda yoyote atayefanya jaribio la kupata free access basi naye apate chake.
Hapa sina utaalamu kuwa kama ukiambatanisha virus je anaweza bypass antivirus ya user iwapo mtumiaji atakiuka licence. Sijajua vile vile kama inakubarika kisheria.
Wataalamu bobevu wanaweza changia hapa kama inakubarika na inawezekana.
ukiuza si inakuwa yake naye anaweza kuiuza hapa nakuwa namtegenezea ajira mtu, labda unaweza kuweka nyama kidogo.Kwanini usiiuze kwa bei/mfumo ambao mtu hatabugudhika kutamper bali ataona urahisi kulipia?
Simple straight and clear.Hapo ni balance kati ya security na convenience.
The more unavyojaribu kuifanya iwe secure dhidi ya kutamper na license yako, the more inavyokuwa inconvenient kwa valid user.
Kwanini usiiuze kwa bei/mfumo ambao mtu hatabugudhika kutamper bali ataona urahisi kulipia?
Ukitengeneza customer loyalty watakutafuta kwa lolote.
Au solve a difficult problem that is core to their business such that wakuhitaji.
Binafsi nna webbased software nimeinstall kwa wateja 50 ndani na nje ya nchi without any meaningful ip protection, wanaitegemea for their core daily operations na wanalipa periodically in the name of maintenance.
Case yako ikoje mkuu?
hii hainitishi naangalia kupunguza makali yao, hata wakiweza access wawe wamechoka kama navyochoka hapa mkuu kuliko kujipigia kwa haraka wakatengeneza firm yaoUmejiandaaje kwa hackers maana software za billgate ambazo ni fake zimejaa tele vipi umejiandaaje kuwazuia ma geneus wasipate free access?
Seriously???, obfuscation!Programming language yoyote inayo compile kwenda Byte Code afu byte codes zika run kwenye virtual environment kama ilivo Java kwa JVM na C# kwa .NET Framework, bas jua hiyo unaweza decompile kirahisi kabisa ukasoma logic ya activation code.
Huu mchezo nimeufanya sana kwenye .jar file za Java na .exe files za C-Sharp.
C-Sharp ndo maisha ni marahisi kabisa Resharper tu peke yake ina decompile code, siku hizi Jetbrains wana hadi tool ya ku decompile code.
Zingatia mdau kasema anaenda kuuza software kwenye sehemu wana IT wao.
dotPeek: Free .NET Decompiler & Assembly Browser by JetBrains
dotPeek is a free tool based on ReSharper. It can reliably decompile any .NET assembly into C# or IL code.www.jetbrains.com
Namshauri mdau kama ata OPT for C# basi afanye kitu inaitwa Code Obfuscation, na nafikiri kuna free na paid softwares za kufanya hiki kitu.
Developers wengi wa android apps wanafanya Code ubfuscation kuzuia users wanaotaka ku develop competitive apps wasiweze kuelewa logic zao.
The only language nayojua hauwezi ku decompile bila kuwa advanced user unae elewa Assembly language ni programming language ambazo zina compile kwenda Machine code kama C++ au C.
Kwa C++ kuna framework kama Qt Framework au wxWidgets(unyama wa Stefano Mtangoo)
Kama haujawai kuwa passionate na C++ hizo frameworks za wxWidgets usiguse kabisa songa mbele na C#
Haiwi manual process mkuu.Seriously???, obfuscation!
Sidhani kama ni maana sana kutumia hii method kwenye development.
obfuscation nilikua natumia kwenye malware analysis. Kote kuanzia development hadi detection kujua hii malware unafanya nini na endpoint inazotuma data ni wapi.
Principle ngumu sana hii sio rahisi kwa program nzima iwe hivyo. Labda useme sensitive file mbazo zime contain primary logic tu
Haiwi manual process mkuu.
You write code to do that for you.
Nimeona mtu anaefanya hii kitu mkuu kwa codebase ya android application nzima, siongei theoretically.
Nimewai lipia pia tool ya ku Obfuscate Desktop app ya Javax
If you cant write code, kuna tools za kulipia kwa ajili ya hii kazi.
The choice is yours mwisho wa siku unataka kuficha nini
Tafuta .exe file ya famous program inaitwa TunnelGuru, imeandikwa java, decompile uone codebase yote ilivo Obfuscated
Tafuta android app inaitwa eProxy, uone extent ya Obfuscation ilofanyika.
Kuna apps bila Obfuscation ya code expect massive competitors watakaokuja kuku overthrow kwenye market.
It all dependa logic za program yako, kama ni hizi basic CRUD operations, hauwezi kuona maana ya ku obfuscate code
Ili tuwekena sawa kwanza what is Uglify and what is obfuscation? and what makes them different?View attachment 2843759
Hamna chochote, app zote mbili monolith zipo open baadhi ya file zipo Uglify sio obfuscate. Uglify inaharibu format na kubadili variable name.
codebase iyo hapi naweza ku edit code naku clone navyotaka
Na mimi nimeiona pia hiyo system kwenye hospitali za serikali. Imetengenezwa na laravel.ukiuza si inakuwa yake naye anaweza kuiuza hapa nakuwa namtegenezea ajira mtu, labda unaweza kuweka nyama kidogo.
Natafuta solution nzuri japo kupunguza unyama wa wazee wa kumodify mimi naweza umia maana sitaiona faida.
Mfano mzuri, hii ____(siitaji jina) iko kwenye mahosipital ya serikali niliwahi kusimamia kama IT Aise nilikuta imehostiwa local kwenye desktop computer iliyofanywa server na inakuwa accessed on local area network. sasa iko kwenye xampp japo sikuwahi ikopi na sijui ndani ya code kukoje, je ningekopy nikawa na lengo la kumodify since kuna hosipital kibao za private ningeuza inajitosheleza kwa feature zote za hospital.
nb, sikuifatilia sana zaidi ya kiufanya kilichoniweka pale.