Sababu kubwa inayo nisukuma kufanya iwe desktop app ni kwamba user wanataka watumie hata wakiwa offline
Kwahiyo naogopa hawa IT wao kuioopi na kuiuza wakati si hosted yaani iwe kama Adobe katika mfumo wa licence na iwe na ugumu kuimodify.
Nisipofanikisha hii nitapoteza wateja
MK254 Stefano Mtangoo Njunwa Wamavoko
Ahsante kwa point nzuri mkuu, lakini hapa ukifanya hivyo jamaa akaacha kuingia online mwaka mzima au hata miezi sita wakati naplani licence key check ifanyike kwa style hiyo kwa kuwa kuna wateja wanaweza kuwa wanalipia miezi mitatu, sita mpaka mwaka hapa unazungumziaje2. Sio lazima user kuingia online mara moja kwa wiki au mwezi, unaweza ku set system i-detect akuwa online system ifanye data backup, update key au access token etc ambazo utatumia kutoa permission na authorisation. Pia ku zi save automatically kwenye sqlite database inayo run locally
Hii ya kufanya hashing kwenye file sawa embu ichambue kwa aya moja au mbil
Mhh, mfano windows au IDM kwa nini ukifika mda wa expired ukiwa offline hata miezi na miezi bado inakua expired?Ahsante kwa point nzuri mkuu, lakini hapa ukifanya hivyo jamaa akaacha kuingia online mwaka mzima au hata miezi sita wakati naplani licence key check ifanyike kwa style hiyo kwa kuwa kuna wateja wanaweza kuwa wanalipia miezi mitatu, sita mpaka mwaka hapa unazungumziaje
Mhh, mfano windows au IDM kwa nini ukifika mda wa expired ukiwa offline hata miezi na miezi bado inakua expired?
Mbona ni simple tu, mfano user ana package ya mwenzi mmoja, 1/12 - 1/1, hapa unakua unafanya kazi na dates ikifika trh 1/1 system ina requred user aweke key mpya au system haifanyi kazi
Ku implement hii hautumii hata 100 line, unatengeneza fuction ya kucheki kama key bado ni valid una i- enable globally, kama sio valid code execution zinakua rejected au in fanya redirect kwenda ku subscription
Nakazia Mkuu 💯💯Bado C# ni bora kwa app za desktop development.
Steps ni hizi:
1. Kama ni offline by default (lazima) utatumia sqlite database. (Kutumia MySql au Psql italazimisha user awe amesha installed database kwenye computer yake, alfu pia hii itampa user access ku browser data, pia installation process itakua complicated sio recommended kutumia Mysql au psql kwa offline uses)
2. Sio lazima user kuingia online mara moja kwa wiki au mwezi, unaweza ku set system i-detect akuwa online system ifanye data backup, update key au access token etc ambazo utatumia kutoa permission na authorisation. Pia ku zi save automatically kwenye sqlite database inayo run locally
3. C shap ni complicated kidogo sio rahisi ku reverse .exe file au user aone source code. Code system kwa C shap ukimaliza convert kwenda .exe file, tayari kwa installation (average programmer hasa wa sisi watanzania hamna mtu anaweza ku spend time ku reverse exe file, kwanza ni complicated sana)
====
Maoni binafsi: kwa nini offline, kama ni matumizi ya biashara huwa na prefer web based hata kama ita run kwenye locally (localhost kwenye moja ya server au computer ya mteja)
Kweli, user anaweza ku backdate device.Vipi je user akibadilisha computer date,
Sema njia nzuri ni kufanya, kila login kwenye sytem ifanyike online. Yani kama user anataka ku login lazime awe online kwenye process ya ku login in background una verfy timestamp, Keys na information zote sensitive baada ya hayo yote kukamilika unatoa access token ya user ku proceed kwenye matumizi ya softwarekuna michezo mingi sana ya ku-bypass licenses, zamani enzi nikiwa hustler wa mjini nilikua na-crack deskop applications na kuziuza, nilikua na mbinu nyingi japo najua haziwezi kumudu kwenye mifumo ya kisasa.
Pia mleta mada nashauri tafuta "license management libraries for .NET", kuna libraries nyingi zinarahisisha shughuli yote.
Sawa sawa
im going with shap hii electron niiache kwanza najua itanichukua muda lakini nitakujaga hahapa kui releaseKweli, user anaweza ku backdate device.
Hapa system ifanye sync kwenye server user akiwa online sytem iverfy date.
Kama user hata ingia online na system ipo offline:
Fanya haya mfano:
1. Package ya mwezi, ni siku 30
2. Siku 30 ni sekunde 60 * 60 * 24 * 30
Kwa hivyo sytem inakua ina count seconds since day ilyo kuwa installed au user ume buy package
Japo hii ni complex, kwa maanaa lzm ujue namna nzuri ya ku calculate date na ku save user date change. Mfano user ame backdate, sytem iwe ina record kili date change na kufanya computation
Sema njia nzuri ni kufanya, kila login kwenye sytem ifanyike online. Yani kama user anataka ku login lazime awe online kwenye process ya ku login in background una verfy timestamp, Keys na information zote sensitive baada ya hayo yote kukamilika unatoa access token ya user ku proceed kwenye matumizi ya software
Programming language yoyote inayo compile kwenda Byte Code afu byte codes zika run kwenye virtual environment kama ilivo Java kwa JVM na C# kwa .NET Framework, bas jua hiyo unaweza decompile kirahisi kabisa ukasoma logic ya activation code.Bado C# ni bora kwa app za desktop development.
Steps ni hizi:
1. Kama ni offline by default (lazima) utatumia sqlite database. (Kutumia MySql au Psql italazimisha user awe amesha installed database kwenye computer yake, alfu pia hii itampa user access ku browser data, pia installation process itakua complicated sio recommended kutumia Mysql au psql kwa offline uses)
2. Sio lazima user kuingia online mara moja kwa wiki au mwezi, unaweza ku set system i-detect akuwa online system ifanye data backup, update key au access token etc ambazo utatumia kutoa permission na authorisation. Pia ku zi save automatically kwenye sqlite database inayo run locally
3. C shap ni complicated kidogo sio rahisi ku reverse .exe file au user aone source code. Code system kwa C shap ukimaliza convert kwenda .exe file, tayari kwa installation (average programmer hasa wa sisi watanzania hamna mtu anaweza ku spend time ku reverse exe file, kwanza ni complicated sana)
====
Maoni binafsi: kwa nini offline, kama ni matumizi ya biashara huwa na prefer web based hata kama ita run kwenye locally (localhost kwenye moja ya server au computer ya mteja)
1st approach ni ku distribute application kwa njia ya installer(application moja inaenda ina download application nyingine online na ku install), hii itafanya house keeping nyingi sana.Ahsante kwa point nzuri mkuu, lakini hapa ukifanya hivyo jamaa akaacha kuingia online mwaka mzima au hata miezi sita wakati naplani licence key check ifanyike kwa style hiyo kwa kuwa kuna wateja wanaweza kuwa wanalipia miezi mitatu, sita mpaka mwaka hapa unazungumziaje
Umejiandaaje kwa hackers maana software za billgate ambazo ni fake zimejaa tele vipi umejiandaaje kuwazuia ma geneus wasipate free access?Hii itakuwa mara ya kwanza kuunda desktop app na nataka iwe na uwezo wa kudai licence key sitaki mambo mengi lakini nachotaka ni ushauri maana sikuwahi kuunda desktop app kwa maisha yangu yote.
Kinacho nifanya nifikie hatua hii nikwamba nataka user au mteja aitumie kwenye machine yake but ntakuwa natrack time then natuma kwenye server yangu kama muda wa leseni umeisha basi inaprompt kwa mteja kuweka key mpya ambazo atanunua online kutoka kwenye site yangu.
Huyu user atatakiwa kuwasha internet walau mara moja kwa wiki au mwezi ili app icheki validity ya leseni.
Sijui kama nimejieleza vizuri nataka kujua je nitumie solution ipi ? kumbuka sitaki user atumie app akiwa online muda wote isipokuwa siku hizo.
Tunazidiana maarifa naoma ushauri!
Umejiandaaje kwa hackers maana software za billgate ambazo ni fake zimejaa tele vipi umejiandaaje kuwazuia ma geneus wasipate free access?
Nakumbuka IDM fake watu wanepatch na kuwezesha kufanya unachotaka. Sasa kama wazungu wanaibiwa wewe mbongo huku kwa kina cihifu mangungo utaweza kuwazuia wazungu wasikuibie software yako kisha wa enjoy jasho lako ?
Yangu ni kumtafuta guru wa security kama hilo eneo bado hujawa master. Mlipe guru fanya sehemu yako afanye sehemu yake.Hapa watatafuta solution, pia ni vizuri kutoa challenge kwenye wazo la mtu mwingine,
Comment za juu kila mtu ametoa solution yake, je yako ni ipi??