Je ukiwa una Physics na hauna Chemistry unaweza kuchukuliwa?
Je ukiwa una Physics na hauna Chemistry unaweza kuchukuliwa?
UchukuliweJe ukiwa una Physics na hauna Chemistry unaweza kuchukuliwa?
Nima engenier wa vifaa vya hospitali.only diploma tu inatolewa nchini dit
tumia matokeo ya O levelWakuu habari.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu kombi CBG nimepata D E E .. O level sikufanyia PHYSICS mtihani .., je kulingana na kutokuwa na physics O LEVEL je nitaweza kubaliwa kusoma DIPLOMA YA PHARMACY ?
Wanachuka Masomo yote PCB kama huna moja hapo hawawezi kukuchukua.Je ukiwa una Physics na hauna Chemistry unaweza kuchukuliwa?
hujaeleweka, DCC ya a level au o levelDiploma unahitajika uwe na DCC kwa PCB Mkuu Ayo ya form six ni advantage tu
kama anaweza soma hiyo. Wataalamu wanatoka SA , Nairobi, Switzerland kuja kuservice vifaa. Soma hutajutaNima engenier wa vifaa vya hospitali.only diploma tu inatolewa nchini dit
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa olevel mkuu
Ulipo Moyo wako ndipo Ilipo hazina yako wasome wanacho pendaMnangaika nyie vijana na macourse magumu ayo ajira zenyewe akuna kasomeni bcom tuu co lazima ayo macourse ya afya kwanza gharama...someni hata account,procurement,business administration mbn kazi zake zipo nyingi sana afu pia co kozi ngumu shuleni mishahara yake kazini mikubw kuliko awo watu wa afya afu pia mishemishe kibao za pesa 50k,au 30k per day mtu ukosi me nashangaa mnangaika na iyo micourse ya afya...