Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Ha ha ha Asante Kwa maelezo mazuri mkuu
 
Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Dada sio breed ni bleed!.
Hiyo moja kwa moja ni mimba tutafute tu majina ya watoto!, akizaliwa wakike muite Melissa akizaliwa wakiume muite Aidan!. hapo vipi..?
 
Dada sio breed ni bleed!.
Hiyo moja kwa moja ni mimba tutafute tu majina ya watoto!, akizaliwa wakike muite Melissa akizaliwa wakiume muite Aidan!. hapo vipi..?
Mbona kipimo hakijasoma lakini kinasoma negative nimepima jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…