curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 756
- 4,589
- Thread starter
- #21
Shukrani sana ntalifanyia kaziKama ni Moyo chukua kipande cha wastan cha muhogo mbichi, saga kwenye blender kwa maji kiasi hadi ilainike vizuri,
Chukua yai moja la kienyeji bichi changanya na asali mbichi kijiko kimoja, piga piga hadi vyote vilainike pamoja,
Chukua ule mchanganyiko wa muhogo changanya na mchanganyiko wa asali na yai, weka kwenye glass kunywa, hakikisha unakunywa asubuhi kabla hujala kitu na usiku wakati wa kulala,
Endelea kutumia kwa siku 40, lakini matokeo utayapata ndani ya siku 7 tu,
MUHIMU: Mchanganyiko huo unaweza ukakukera wakati wa kunywa unaweza hata kutaka kutapika, jikaze ni dawa lakini pia unashibisha sana, usiogope ukiona tumbo limejaa.