Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

Kama unapenda kubadilisha jia angani na kumwacha ulie naye kwa sasa mwambie aje mwaze maisha upya.
Ila kama una rafiki mwingine na una future naye na hutaki kumwacha basi huyo wa kwanza mwambie ukweli hauko tayari kubadisha msimamo wako tena.
Kama hutafanya hivyo basi endelea kujichanganya. Kuna siku utaomba ushauri mara oh kapata mimba mara oh wote wananipenda ..
 
Hapa tu ndo huwa naipenda JF,
"mnanitoaga ma stress" [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Akija mwambie ashukie Nanenane afu mm ntakuletea mpaka home kwako usisahau kunitumia no yake pm ahsante
 
Hayo mapitio yako yamefanana exactly na yangu ila mimi nilikua naitwa uncle na pia akawa anakuja mkoa niliikua ninaishi tukawa tunafanya yetu na alikua sio mchoyo yeye mda wote tukikutana lazima aseme anataka mambo mpaka akaanza kutoelewana na jamaa ake wa huko mkoa aliopo na nikapata ushauri kwa watu mbalimbali ila kumuelezea kwamba inabidi tuache ilikua shughuli nzito aliumia sana hadi leo najutia kwa nin niliingia kwenye mahusiano na yeye
 
Naona dalili ya kumuumiza uliyenaye sasa ili umfurahishe ex wako then mwisho utakuja kuumizwa wewe na huyo ex wako.Baba mtoto atakuja na kuungana na family yake.
 
Kwanza iko hivi, ningekuwa mm ningeangalia kati ya hao2 ni yupi nampenda zaidi, na lingine ambalo ningechunguza kati ya hao 2 ni yupi ananipenda zaidi. Dogo ukioa mwanamke ambaye unampenda ila yeye hakupendi nakwambia utalia kila siku. Kama kuna mwanamke yuporadhi kupoteza kila kitu kwa ajili yako basi huyo ndo kila kitu kwako. Yaan huyo dada ni wale ambao anamnunulia gari mumewe huku yeye akipanda boda. Ningekuwa mimi ningemwoa bila hata ya kumuuliza maswali mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…