Kumbe hujasoma? Acha nikusimulie, IPO hivi!Nilivoona 2011 ulikua young sana nikaghairi kusoma
😃Nilivoona 2011 ulikua young sana nikaghairi kusoma
Ushauri mzuri, ila akiufuata si atakosa Hiyo miamala Sasa?Muambie unampenda sana na itakuuma kuona unamtumia au ukimuumiza mbeleni,miaka mliyoachana ni mingi na una mahusiano rasmi,kwa sasa tuwe marafiki na kama ushauri nitakupa muambie atapata mwanaume bora kabisa kwake na akawa baba bora wa familia yake,asipokuelewa kata mawasiliano,block kila mahali ataumia mda mfupi ila atakushukuru sana mbeleni.