SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,048
Watu hawana problem na uwezekano wa creator of the universe.. tatizo ni kwamba kila mtu anakuja anasema ameongea nae peke yake na anatupa masheria aliyotunga kichwani tufate ..at the same time anatutishia moto tusipomsikiliza na majority of human beings wanaamini coz wameambiwa wakiwa watoto... tatizo ndo hili tu. So wakija na maswali Yao Kama sijui nanasi limekuwaje tamu nawajibu tu we both don't knowsiwezi kubishana na hili, hata nilivoanza kuacha kuamini kuna vingi nilikua siwezi kuvifafanua, lakini mpaka sasa kuna vingi kati ya hivyo nimeweza kufafanua....
tatizo kuna vitu siwezi kuvipuuzia mfano kwanini kuna dini nyingi?, the paradox of gratuitous evil, historia ya dini... na mengine mengi
kabisa kuna vitu ni ngumu kuvipuuzia ukishavijuaWatu hawana problem na uwezekano wa creator of the universe.. tatizo ni kwamba kila mtu anakuja anasema ameongea nae peke yake na anatupa masheria aliyotunga kichwani tufate ..at the same time anatutishia moto tusipomsikiliza na majority of human beings wanaamini coz wameambiwa wakiwa watoto... tatizo ndo hili tu. So wakija na maswali Yao Kama sijui nanasi limekuwaje tamu nawajibu tu we both don't know
Tuendelee tu kuishi na watu vizuri na kufata sheria za nchikabisa kuna vitu ni ngumu kuvipuuzia ukishavijua
Yesu Kristo yuko na anaokoa.Nasikia furaha sana kuona tupo wengi tunaomjua YESU aliye hai ..
Na ukimjua huwezi muacha...
Dini ziko nyingi kuleta distractions , kuna negative forces ambazo zina kiongozi mmoja ndo anahusika na haya yote. Ndo maana nikakuambia just pray, Atheism haitakupeleka popote, kwasababu Atheism haiwezi ishi bila kuwa na Theism ila Theism haitegemei kabisa Atheism kwasababu origin yake inatoka kwa Muumba ambaye ni mmoja . Aisee naweza jaza vitu vingi ila Pray.siwezi kubishana na hili, hata nilivoanza kuacha kuamini kuna vingi nilikua siwezi kuvifafanua, lakini mpaka sasa kuna vingi kati ya hivyo nimeweza kufafanua....
tatizo kuna vitu siwezi kuvipuuzia mfano kwanini kuna dini nyingi?, the paradox of gratuitous evil, historia ya dini... na mengine mengi
Linaweza likawa jibu safi. So your sin not necessarily to be my sin.vitu ambavyo dini yako inakataza
Biblia nafikiri ina maelezo sahihi ya dhambi nini; si maanishi kuwa dini zingine hazijaeleza hiyo dhambi ni nini.Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Universalize your principlesMimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Kutovunja Amri 10 za Mwenyezi Mungu haiwezi kuwa kipeo cha Mkristo kwa vile kushika Amri na Sheria haitoshi.Hakikisha huvunji amri kumi za Mungu
Dhambi ni nyingi, ila ukiomba Neema yake utazishinda
- Mimi ni Bwana Mungu wako Usiwe na Miungu mingine
- Ikumbuke siku ya Bwana(Sabato) na uitakase
- Usimshuhudie jirani yako Uongo
- Waheshimu Baba na Mama yako
- Usiue
- Usizini
- Usiseme Uongo
- Usitamani Mali ya Jirani yako, wala ng'ombe wake wala Chochote alichonacho
- .....
- ....
Mkuu Pantosha , kwa Wakristo na Waislamu, dhambi ni kumkataa Mwenyezi Mungu, na kukataa amri zake.Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Haramu/halal - soma hapo juu.Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kwa Waislamu, ndoa haikukusudiwa kumletea mwanadamu taabu na dhiki; "Basi tutamrahisishia (mwanadamu) mambo kuwa mepesi (92:8).Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Shukrani kwa kuboresha nukuu ya andiko langu.Kutovunja Amri 10 za Mwenyezi Mungu haiwezi kuwa kipeo cha Mkristo kwa vile kushika Amri na Sheria haitoshi.
"Sheria na Amri zake nimezishika zote tangu utoto wangu".
Yesu akamkazia macho (yule kijana) ... akamwambia: "Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze ulivyo navyo... kisha njoo unifuate" (Mat. 19:20-21; Mk. 10:20-21).
Iko hivi, anayeshika Sheria tu akiangalia halali na haramu, hajatimiza Sheria, kwasababu "Utimilifu wa Sheria ni upendo". ( Warumi 13:10).
Nimekuelewa. Unachotaka ww ni sawa na kusema tufanye dini iwe moja, dunia nzima. Ni kitu ambacho hakiwezekani.Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Kila dini inatishia hivi...asa utamwamini Mungu yupi na kumwacha yupi na usiseme Mungu ni mmojaDhambi Kubwa zaidi ni Kumshirikisha Mwenyezi Mungu (Shirki)
“Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu.”
Biblia Takatifu - Kutoka 20:3-5
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi hakika amezua dhambi kubwa.
Al Qur-aan 4:48