SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,048
Unataka ujue ukweli, dini zote ni man made...so unauliza according to dini gani..na interpretation ipi..Kuna madhehebu zaidi ya laki tatu ndani ya ukristo pekee...nobody knows dhambi ni Nini coz kila mtu ana interpretation zake za sheria za wayahudi au waarabu Ila we fata sheria za nchi na ishi na watu vizuri ukiendelea kumwamini Mungu wako. Kutojua dhambi ni ipi sio kosa lako ni kosa la aliyekufikishia huo ujumbeNianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
Bora hata umenisaidiaSas si ndo amedig kwa kukuuliza? Mjibu, au nawewe hujui?
How can you stay away with negative thought, since they just come automaticallyStay away with negative thought even negative deeds
Asante kwa majibu yako. Kuna kitu ni mejifunza. Tuwasikilize wengine wanasema jeUnataka ujue ukweli, dini zote ni man made...so unauliza according to dini gani..na interpretation ipi..Kuna madhehebu zaidi ya laki tatu ndani ya ukristo pekee...nobody knows dhambi ni Nini coz kila mtu ana interpretation zake za sheria za wayahudi au waarabu Ila we fata sheria za nchi na ishi na watu vizuri ukiendelea kumwamini Mungu wako. Kutojua dhambi ni ipi sio kosa lako ni kosa la aliyekufikishia huo ujumbe
Na hizi ndizo sababu dini zinapoteza ushawishi miongoni mwa watu,sababu baadhi ya dini ktk maagizo yake,zimemfanya binaadam awe kama robot asiyeruhusiwa hata kufikiri secunde kadhaa.Okay, mimi nipo hapa kukusanya maoni then tunatoka na definition ya dhambi. Ni dhambi hata kushika chupa la kileo kwa baadhi ya dini.
Nadhani Dr. amekupata vizuri. Negative thoughts haziepukiki ila unaweza kudhibiti zisikuathiriHow can you stay away with negative thought, since they just come automatically
Tukija hapa na definition ya dhambi huenda watu wengi wakawa huru. Asante kwa comment yako.Na hizi ndizo sababu dini zinapoteza ushawishi miongoni mwa watu,sababu baadhi ya dini ktk maagizo yake,zimemfanya binaadam awe kama robot asiyeruhusiwa hata kufikiri secunde kadhaa.
Mtu anakwambia riba ni haramu ila biashara ni halali[emoji23][emoji23],yaani akikupa pesa usimrudishie pesa hiyo ikiwa na ziada,badala yake ukiweza mpe bidhaa yenye thamani zaidi kufidia lakini sio pesa.
Na wahusika hawaoni tatizo mungu wao kuwachezea matix[emoji23][emoji23]
Amri za Mussa we huzijui? Uliona pameandikwa pombe pale?Kitu gani hicho ndiyo nataka tuaikoshe dhambi ni zipi?
Aisee .kitu chochote kitakachokufanya uchomwe milele na mungu wako
Pale hata ushoga haupo 😀😀😀Amri za Mussa we huzijui? Uliona pameandikwa pombe pale?
funny how cruel and sadistic it sounds when you put it that way,Aisee .
1wakorintho 6:9-10 kasomePale hata ushoga haupo 😀😀😀
Achana naye.1wakorintho 6:9-10 kasome
Kwa kweli , what made you become an atheist?funny how cruel and sadistic it sounds when you put it that way,
but it's true
Nashindwa kukujibu kwasababu unataka u-justify things that are unjustifiable.1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wanzinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Wala nyama kama nguruwe hawapo.
Usiwe mwepesi wa hasira. Tuko hapa kujifunza ukweli utakaotusaidia wengi.Achana naye.
Dogo kalewa jagwamasta huyo.Kwa kweli , what made you become an atheist?
Hapana sipo hapa ku justify things which are unjustifiable.Nashindwa kukujibu kwasababu unataka u-justify things that are unjustifiable.
😀😀😀😀😀 Just thinking loud. Don’t be lazy in questioningDogo kalewa jagwamasta huyo.