Kitu gani hicho ndiyo nataka tuaikoshe dhambi ni zipi?kitu chochote kitakachokufanya uchomwe milele na mungu wako
What is cleanest lifestyle? What do you meanCleanest lifestyle ndo uishi umo then soma Sana spritual matters
vitu ambavyo dini yako inakatazaKitu gani hicho ndiyo nataka tuaikoshe dhambi ni zipi?
Stay away with negative thought even negative deedsWhat is cleanest lifestyle? What do you mean
Kwa sasa dunia ina watu wengi sana ambao wanakiri hawana dini. Hao watakuwa hawatendi dhambi?vitu ambavyo dini yako inakataza
Huu ni definition yako ya dhambi? Nakubaliana na wewe huenda hii nayo ikawa sifa ya dhambi. Uenda tukatakiwa ku define vizuri zaidi.Dhambi hupatikana kwa nia mbaya, nia njema hampi mtu dhambi.
dini sio chanzo cha maadili.... wasio na dini wanaishi kwa kulingana na malezi, tamaduni za jamii husika, na vyombo vya sheriaKwa sasa dunia ina watu wengi sana ambao wanakiri hawana dini. Hao watakuwa hawatendi dhambi?
Okay, mimi nipo hapa kukusanya maoni then tunatoka na definition ya dhambi. Ni dhambi hata kushika chupa la kileo kwa baadhi ya dini.Binaadam ukiwa kama msimamizi wa viumbe wengine,umepewa kitu utashi,utashi ndio unakuelekeza jambo lipi ni baya lipi ni zuri.
Kila jambo unatakiwa ulifanye kwa sababu maalum tu sio kufanya sababu linakufurahisha,mfano ni hiyo kulewa.
Kama unalewa na unafurahi,basi usiwe kero,usumbufu na maudhi kwa wengine.
What are negative thoughts Dr.?Stay away with negative thought even negative deeds
Ndiyo unijuze wew kama Ushoga unaonekana siyo dhambi kwa baadhi ya dini kubwa duniani.yan kukua kote mkristu hujawah kujua nini maana yadhambi wewe katekista?
Dig knowledgeWhat are negative thoughts Dr.?
Sas si ndo amedig kwa kukuuliza? Mjibu, au nawewe hujui?Dig knowledge
Be knowledge seeker