pure crazy
Senior Member
- Nov 28, 2013
- 190
- 37
- Thread starter
- #21
Kanambia akitoka kanisani tuonane ndio na msubir
Kanambia akitoka kanisani tuonane ndio na msubir
nimejaribu kusoma mstaru kwa mstari nikaona sielew kabisaaa. ikabidi nisome kwa kutumia ubongo wa tatu. ndi nikaelewa.
ushauri:- we jamaa huwezi oa mtu anayekuzidi 2years. huyo anatakiwa aolewe na mtu anayemzidi 5- 10 years. ambaye kwako ni sawa na baba mdogo wako.
Ivi wewe baba/ mama yako plus bother/ sister wanajua huu upuuzi unaowaza while wanakulipia Ada usome????ivi wewe unawaza ndoa no kugegeda tu? Kuna majukumu ya pesa, responsibility, decision making....
Think twice huyo unayemuoa tayar ana motto jaman
Mapenz hayaishi dogo soma weka mambo safi then ndo ufikirie kuoa