pure crazy
Senior Member
- Nov 28, 2013
- 190
- 37
Habaar ya asubuh wana Mmu nahisi wote mtakuwa ni buheri wa afya njema na juma pili itakuwa njema.
Jana niliomba ushauri juu ya mpenzi wangu ambaye nilitarajia kwenda kwao kujitambulisha lakin kwa namna moja ama nyingine haikuwa hivyo kwa sababu yeye ni muhitimu wa chuo na anasubir ajira kwahyo akasema hadi pale atakapo pata ajira ndio yaweza kuwa mwanya mzur kwangu kujitambulisha huyu dada ambaye ni mpenzi wangu anamtoto mmoja na tulipo anzisha nae mahusiano aliniweka wazi kuwa alipokuwa kidato cha sita alipata ujauzito huo akazaa kisha muda wakwenda chuo ulipofika akaendelea na masomo yake.
Jana tumeonge vizur juu ya mahusiano yetu kuwa jinsi itakavyo kuwa lakin baada ya muda nikaamuliza uko tayar nikawa mumeo alisema no si sikuamin kwasababu nampenda natunapenda nikamuuliza kwann akadai kuwa tatizo tatizo kanizidi 2year yeye 26mimi nina24naleo ananipigia simu sana kuwa umechukia nilivyo kwambia jana nikawa najibu hapana sijachukia kanipigia karibun mara nne na mara ya mwisho kanipigia haongei ananisikiliza mimi mie nikawa na msikiliza yeye coz yeye kapiga je kuna umuhimu kuwa na mtu kama huyu kwa ufahamu wangu unapokuwa unasema unampenda mtusidhani kama unaweza ukawa na sababu hii mara hiyo na kitu kingine ananambia im sorry kwmaamuzi niliyochukua sasa ananipigia sm arafu haongei uko ofisin saiz yaan simuelewi je nifanyeje niko tayar kwa ushauri kwan mpezi wangu simuelewi kabisa plz nishauri vzur kunisaidia jumapil njema na je nisipokee sim yake au nipokee ila niwemsikilizaji nilimpenda vitu vingi sana niliplani kufanya nikiwa nae nae alifaham hvyo