Mambo yanakuaje mazuri bila kufanywa yawe mazuri.unataka tuishi na ndoto za matumaini?
#hapakazitu usanii mwachie zembwela na mzee majuto
Binafsi ningependa watanzania tusimchague kiongozi anayefanya "Mambo Mazuri" bali tumchague kiongozi anayefanya "Mambo kuwa Mazuri". Tuna mambo mengi yako ovyo kabisa. Kila mahala mambo ni ovyo, uvundo mtupu, kuanzia kwa mjumbe nyumba 10 hadi ikulu, ya escrow account.
Asakwe kiongozi atakayefanya mambo yawe mazuri, iwapo tutachagua kiongozi anayefanya mambo mazuri hatutatoka kamwe kwenys mazingira haya ya mambo maovu na uozo huu tulionao sasa.
Tuanzie kuhoji, diwani wetu, mbunge wetu ama rais wetu, je! Utafanya mambo mazuri au utafanya mambo kuwa mazuri? Mambo mazuri ni ya kitambo tu. Uzuri unachuja na kufubaa! Kwa mfano, Dr. Magufuli alifanya yafuatayo: ameuza nyumba za serikali, (serikali sada inapanga kwenye nyumba ilizoziuza) alikamata meli ya uvuvi ya wachina,(wachina wameibwaga serikali mahakamani,sasa wanadai fidia;na meli yao ilizama ikiwa mikononi mwa serikali) amejenga barabara ambazo hugeuka ama mahandaki ama matuta ya viazi hata kabla hazijakabidhiwa; alibomoa kituo cha mafuta huko Mwanza,(mwenye kituo anaidai fidia serikali).
Je! Hapo amefanya mambo mazuri au amefanya mambo kuwa mazuri?
hii ni copy and paste ya aliyoyaandika Mh Juma MwapachuBinafsi ningependa watanzania tusimchague kiongozi anayefanya "Mambo Mazuri" bali tumchague kiongozi anayefanya "Mambo kuwa Mazuri". Tuna mambo mengi yako ovyo kabisa. Kila mahala mambo ni ovyo, uvundo mtupu, kuanzia kwa mjumbe nyumba 10 hadi ikulu, ya escrow account.
Asakwe kiongozi atakayefanya mambo yawe mazuri, iwapo tutachagua kiongozi anayefanya mambo mazuri hatutatoka kamwe kwenys mazingira haya ya mambo maovu na uozo huu tulionao sasa.
Tuanzie kuhoji, diwani wetu, mbunge wetu ama rais wetu, je! Utafanya mambo mazuri au utafanya mambo kuwa mazuri? Mambo mazuri ni ya kitambo tu. Uzuri unachuja na kufubaa! Kwa mfano, Dr. Magufuli alifanya yafuatayo: ameuza nyumba za serikali, (serikali sada inapanga kwenye nyumba ilizoziuza) alikamata meli ya uvuvi ya wachina,(wachina wameibwaga serikali mahakamani,sasa wanadai fidia;na meli yao ilizama ikiwa mikononi mwa serikali) amejenga barabara ambazo hugeuka ama mahandaki ama matuta ya viazi hata kabla hazijakabidhiwa; alibomoa kituo cha mafuta huko Mwanza,(mwenye kituo anaidai fidia serikali).
Je! Hapo amefanya mambo mazuri au amefanya mambo kuwa mazuri?
hii ni copy and paste ya aliyoyaandika Mh Juma Mwapachu[h=2]Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA[/h]Binafsi ningependa watanzania tusimchague kiongozi anayefanya "Mambo Mazuri" bali tumchague kiongozi anayefanya "Mambo kuwa Mazuri". Tuna mambo mengi yako ovyo kabisa. Kila mahala mambo ni ovyo, uvundo mtupu, kuanzia kwa mjumbe nyumba 10 hadi ikulu, ya escrow account.