Haha! Aisee..Mganga alikuambia atamtuma mtu aje mgodini kwako kuzindika dawa madini yateme kamtuma nyoka wewe umemuua, ndezi kweli ushakosea masharti.
Ni kosa kwasababu mgodi ndio ulivamia makazi ya nyoka.Habari wajuzi naomba nijibiwe swali langu hili ?
Je nikosa kumuua nyoka kama huyu kwenye sehemu ya mgodi ?
Kama ni kosa je kwanini ?View attachment 3446574