Je niko sawa katika hili?

Mujarabu sana hii
 
You take your time. You still have a significant time to get things right.

Ila oa for the right reasons, nasio kwasababu unataka mtu wakukuzalia, au umeona sasa muda uliojiwekea umefika. Bali oa mtu ambae mnapendana na ungependa kuspend a significant part of your life with.

Halafu sio lazima mpaka usubiri kumaliza chuo ndo uanze process za kumtafuta mtu.... Hata sasa, a good relationship can blossom anywhere. Ni wewe tu.

So kwasasa weka swala la watoto nyuma, focus yako iwe kumpata a woman that you love and cherish. Na usiogope kama mahusiano yako mengi yakaishia usikotaka. Ni ngumu kupatia during the first few tries. So take it slow.
 
Thanks, I appreciate brother.
 
Jambo jema unakusudia tekeleza kwani lina faida mbili nionavyo 1 utaepuka mapapa kuharibu kipato chako na kuepuka malazi ya zinaa 2 vizuri kuwa na watoto ukiwa na nguvu uweze kuwasaidia kujijenga kielimu na kimaisha kulingana na wakati wengine wanaoa wakiwa na miaka 39 mtoto ananza chuo baba anastaafu utumishi
 
Kuna mstaafu mmoja alifariki watoto wake ndio wapo darasa la sita
 
Mkuu hebu tusaidiane kimawazo, ni reason zipi zaweza kuwa right.

Karibu tushee experience mkuu
Je endapo kama hautapata mtoto kwa huyo mke wako??
 
watoto tunawapenda sana na ni baraka kwetu ila kuoa kisa kupata watoto ni kosa kubwa sana,kwanza fikiria watoto tunawalea,tunawasomesha tunawaacha wanaenda kuishi maisha yao maisha yako wewe na yna4 yanaendelea.Mkuu oa mwanamke ambae moyo wako umemzimikia wewe ndo umpende mwanamke nakuambia tena oa mwanamke ambae moyo wako unampenda mzeeke pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…