Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Humu watu watakushauri kwa kadri watakavyoona inafaa ila mwisho wa siku mwamuzi wa mwisho ni wewe.Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
We jamaa😂😂😂😂Mbona sasa na mimi unanilalamikia hapa na sijawahi kukuomba kitu?.
Kwani kama usingepeleka angefanyaje? (kama usingekuwa nazo).
Eh kama mamako anatumia kila thumni yako unashindwa kufanya maisha yako endelea kuwa mamas boyJinsi mama yangu alivyohangaika kunifikisha hapa nilipo leo aniombe hela nisimpe kisa kuna msukumo wa mwanamke niliyekutana naye ukubwani hilo haliwezi kutokea. Na kwa niaba ya uyo jamaa yako ni bora ujikatae tu madam.
Nichukie tu mwanang sikupunguzii hata ladha ya bia mimiAlafu umwambie ukweli , usimwache dailema.
Mpaka sasa ni ushamuacha bado kumwambia tu.
Nawaza tu: mwamba akigundua kapigwa chini na mtu aliyekuwa anampenda/aliyekuwa na mipango ya kumueka ndani kabisa , kisa tu Bi mkubwa[emoji848]
Alafu we Dada ,Mimi kama mimi nshakuchukia tayari.[emoji41]
Wacha niendelee kulewa Mimi[emoji482][emoji481][emoji481][emoji481]
Sema wewe dearSa ukimchukia itakusaidia nini au itamuathiri nini?
Sawa mkuuNadhani huyo kijana anashaurika l, mshauri na hiki ndio kiunzi chako cha kwanza madame, hakuna mteremko tu katika mapenzi, ukiona mwanaume wako hana tatizo kabisa basi ndugu watakua na matatizo and vice versa.
Thank you lovenew gal usimwache huyo mwanaume esp kwa sababu umesema he is good,na ujue siku hizi good men are hard to find and golden chances never comes twice,we mwenyewe ushasema hujawahi date mkaka wa aina hiyo,sasa unatakaje?
ni hivi endelea naye huku ukiendelea kusoma mazingira yote na kutafuta namna ya kuifanya influence ya mama kwenu iwe positive badala ya negative,hata ukikosa nyie endeleeni na mipango ya ndoa ila ujitahidi usijkubali muishi pale nyumbani kwao esp baada ya ndoa
mara nyingi ndoa ni vile mnavyopanga na mkisha kua na ndoa baadhi ya mambo huwa yanakuja na kujiondoa automatikali
wewe hupaswi kumshauri huyo mwanaume wako aache kuprovide kwao lakini mnaweza kukaa mezani na kupanga financial plans zenu za mkiwa ndani ya ndoa namna ambavyo mtazisupport famiia zenu zote financially na namna ambavyo mtaisustain familia yenu mpya financially ili muweze kubalance mambo vizuri,hakikisheni mna mawasiliano mazuri ya wazi wazi na msifichane chochote,inaweza kusaidia
all the best girl
Kweli kabisa mamy, ushauri wako nimeupokeaUyo mama ana itikadi kama za mama diamond ....usimwache uyo mwanaume kisa uyo mama ila ukishaolewa jitahidi mmfungulie biashara awe bize ili asiwasumbue nyie maana kuna wa mama wengine wanatreat watoto wao wa kiume kama waume zao vile na wamama wa hivyo hufanya ndoa kua ngumu
Uchoyo ni nn hebu define mkuu?Uchoyo Uchoyo hapo hujaolewa
Sasa unamuacha kisa anamhumia mama yake na familia?maana sijaona mahali umeandika ana kasoro yeye kama yeye..acha roho mbaya muache amuhudumie mama yake na familia..wewe umekutana naye akiwa mkubwa huyo mama yake na ndg zake wengine ndo wamemfikisha hapo...cha msingi kama unaona kuhudumia familia yake kutadhuru familia mtakayoanzisha mpe mawazo ya kuongeza kitega uchumi ile isiwe shida kuhudumia mama yake...Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Baba sio lazima nimwage mchele wote. Ukihitaj kujua kwa details follow my leadSasa unamuacha kisa anamhumia mama yake na familia?maana sijaona mahali umeandika ana kasoro yeye kama yeye..acha roho mbaya muache amuhudumie mama yake na familia..wewe umekutana naye akiwa mkubwa huyo mama yake na ndg zake wengine ndo wamemfikisha hapo...cha msingi kama unaona kuhudumia familia yake kutadhuru familia mtakayoanzisha mpe mawazo ya kuongeza kitega uchumi ile isiwe shida kuhudumia mama yake...
Halafu wanawake sijui mkoje,sijaoa ila naona kabisa mna roho mbaya na mama zetu...hivi vihela vya bia hizi za buku jero jero vinakupa tabu?mtumie mama ale gambe bana kakuletea mtu anakuliza kunako sita kwa sita😀😀
Pole mkuu,ila wazo la kumuacha mtu ambaye mnaelewana kwenye kila kitu isipokuwa watu wa nje ndo shida sikushauri sana...mimi ni mhanga wa kumpoteza mtu tuliyeivana sana kisa baba yake kagomea dini yangu tukakwama kuoana,mpaka leo sijapata replacement na yeye hajapata na hatuna namna tunaweza kuoana tena..Baba sio lazima nimwage mchele wote. Ukihitaj kujua kwa details follow my lead
Utakuwa unakosea kama hutojaribu kumshauri uone muitikio wake, nini tofauti ya yeye kuwa single na kuwa nawewe kama hata kushauri kama mwanamke shujaa unashindwa? Mshauri kwanza akigoma hapo sasa waweza chukua maamuzi.
USHAURI wako Sasa! Okay hongera sana!!!Mfanye mwanaume wako awe mwanaume, mi nilijitoa mhanga kuchukiwa na mama mkwe ni kawaida hata ujipendekeze vp. Ikishindikana sepa
Usisahau kuwa kwa sasa wanaume waoaji ni wachache sanaHabari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Pole sana kwa changamoto hiyo. Lakin siku zote binadamu tunapaswa kusimamia maamuzi yenye kutufanya tuwe na furaha na amani kwani ndo kila kitu kwenye maisha.Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.