Umeona eh, asante kwa ushauriJiondoe tu dada
Nashindwa kumshauri as ntaonekana namchukia mama yake, cause alisema mama yake anapenda kudekezwa. Ila mm sikujua kudekezwa yenyewe ni aina hii.Utakuwa unakosea kama hutojaribu kumshauri uone muitikio wake,nini tofauti ya yeye kuwa single na kuwa nawewe kama hata kushauri kama mwanamke shujaa unashindwa? mshauri kwanza akigoma hapo sasa waweza chukua maamuzi.
Hapo dada tafuta lugha nzuri isiyo elemea upande wowote umwambie awe mwanaume..ili ukiondoka usije jihis kuwa na hatia,huenda atakuelewa tumia tafsida usiweke lugha zitakazo mkwaza na kujenga chukiNashindwa kumshauri as ntaonekana namchukia mama yake, cause alisema mama yake anapenda kudekezwa. Ila mm sikujua kudekezwa yenyewe ni aina hii. Kitendo cha yeye kufata kila anachoambiwa na mama ni tatizo tayari ndo mana nakosa hyo nguvu ya kushauri. na akifata ushauri wangu jua nipo kwenye hatari ya kuingia vita na mama mkwe
Naja haraka sanaEbu angalia mfano wangu huu: Je unaonaje ni kheri kuondoka kimya kimya uyu bwana ako asijue sababu ya kukuondoa kimya kimya au ni kheri uondoke na uku ukiwa umejua ya kwamba umemshauri ila kwa upande wake umeona imeshindikana na ata ukiondoka anajua umeondokana kwa kuwa kuna mambo umeona uko mbele hayata enda, nina mfano kama wako copy and paste,,, njoo pm nikusimulie na nikupe mkanda ilivyo kuwa.
Haya lipia tangazokisa kaniona na gari
Nimekuelewa mkuu.Kitachofuata ni kulogwa usipate mimba je upo tayari kwa huu mtihani? Kama haupo tayari ondoka zako dada yangu.
Jamaa yako bado hajawa mtu mzima, samahani lakini.