Je, nifanyeje nisichepuke?

Daahhhhh kiasi fulani kunapoint hapa
Kwanza ni experience nzuri kushuhudia mkeo akijifungua na wewe kuwa wa kwanza kukishika kichanga, nilishasema wangu sitaki aende kwa mtu kujifungua. Nakaa nae hadi nione kazi ya mikono yangu na Mungu wangu!!
 
Asante sana kwa msaada
Wewe starehe yako series, starehe yake mbunye, kuna ubaya gani? Usitake kulazimisha maisha unayoishi wewe kila mtu aishi.

Kama hufanyi ngono kina siku ni matatizo yako, wengine sisi ni 24/7, 366 other things remain constant.
 
Daaahhhhh kwelii
 
Kaka hawaelewagi hawa....... Akirudi tu wife zinaanza simu za usiku
mkuu usifanye punyeto ni mbaya kiafya utaua misuli yako ya uzazi taratibu afta sometimes ngoma inaanza kusinzia tafuta dem piga mara moja moja tell her no commitment asije kukusumbua!
 
Punguza mda wa kukaa idle.

Kuna njia mbili

¶ ukirudi job. Kuwa bize.... na stori na wadau.
(Tena kipindi hiki cha uchaguzi. Stori nyingi mno)
¶ FANYA MAZOEZI MAGUMU. ANZISHA.... HII PROJECT. Kuna manufaa ya kuwa physical fit. Also hutakuwa na muda wa kuwaza haya yote.

Ukishindwa kufanya yote....hayo. kuwa mlevi..... hautawaza hayo yote. Ukishindwa kabisaaaa. Jibu unalo
 
Piga punye huku akilini mwako unaimagine sura na umbo la mchapuko unaoutaka
 
Kisa cha huyo mkeo kwenda kukaa huko muda wote nini?

masuala ya kwenda kujifungulia home eti kisa huna msaidizi.c hoja.
 
Kaka hawaelewagi hawa....... Akirudi tu wife zinaanza simu za usiku
Hapa napata wasiwasi, inaelekea unauzoefu na michepuko. Ndo maana nakushauri uende kwa wale wanaojiuza unanunua mara moja kwa wiki au wiki 2 then unapiga hadi unatoa povu. Unampa chake na kwa vile hamjuani hawezi kukufatilia. Au uka kijijini Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…