Je, nifanyeje nisichepuke?

mmmh unayawazia kila siku haiwezekani kila sku uwaze kutombana tuu kila siku jikeep buzz na naimani hiyo hali hautakuwanayo, unaweza ukachepuka tu na ukimwi juu ukamuua mdada wa watu bila hatia yoyote mwanaume jithamini,jiheshimu tafuta hela kumbuka ameenda akija watakuwa wawili na wew ndo baba so think twice before you make any action
 
mkuu usifanye punyeto ni mbaya kiafya utaua misuli yako ya uzazi taratibu afta sometimes ngoma inaanza kusinzia tafuta dem piga mara moja moja tell her no commitment asije kukusumbua!
 
Kumbe!! Sikujua Hilo....Sasa Unamhurumiaje??? No!! Basi Atafute Wa Kufanya Nae Phonesex, Hapa Napo Vipi??? Lakin Kuna Wake Wazembe!! Eti Hata Yupo Mbali Hawez Mridhisha Jamaa Yetu Thru PhoneSex??

Wew sio mume wewe ni mvulanaaa!!
 
Wew sio mume wewe ni mvulanaaa!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Nimekuelewa Hati Mimi Sijazeeka Ila Mume Kazeeka!! Yah Ni Kwel Sijazeeka!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!
 
Ni week ndio lakini jaribu ku imagine mpaka miezi5
Nashindwa kuelewa hiyo ni only a week je ukisafiri mwezi itakuwaje?Vitu vingine nadhani tunaviendekeza wenyew
 
Hahahaha we jamaa...... Malaya tena.....?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…