Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?
Kifo cha nani?
Unaelew kwamba si dhana zote ziko tofauti na uhakisia?
Unaelewa kwamba juna dhana zilizo mzizi wa uhalisia?
Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, hiyo ni dhana au uhalisia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu chochote unachoweza kukifikiria kina dhana, ndiyo hiyo unayoifikiria kichwani, unaelewa hilo?Unajua nilipokuuliza unajua nini maana ya dhana ,sababu niliona udhaifu juu ya tamko hili.
Tamko dhana kilugha ina maana moja ila kiistilahi ina maana kutokana na matumizi. Na maana ya kilugha ndio hua inakuwa pana zaidi.
Almuhimu dhana ni kutokuwa na uhakika wa jambo fulani,aidha kuwepo kwake,kutokea kwake,maana yake,uhalisia wake yaani kwa ufupi shaka.
Sasa unaposema kifo ni dhana ,itabiti utithibitishie ya kuwa kivipi kifo ni dhana. Kwa mtazamo wako kutokana na mtiririko hoja zako unakurubisha maana ya dhana kama wazo au kanuni fulani iliyojengeka kutokana na misingi fulani sasa uelewa huu si sahihi.
Mjengeko wa sentensi yako ya mwisho haujakaa sawa kwa mujibu wa sarufi ya au kanuni za sarufi ya kiswahili,sasa iweke vyema kisha nikupe maelezo yake.
Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?
Kifo cha nani?
Unaelew kwamba si dhana zote ziko tofauti na uhakisia?
Unaelewa kwamba juna dhana zilizo mzizi wa uhalisia?
Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, hiyo ni dhana au uhalisia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu chochote unachoweza kukifikiria kina dhana, ndiyo hiyo unayoifikiria kichwani, unaelewa hilo?
Huwezi kuwa na kifo kichwani mwako, una dhana ya kifo kichwani mwako, ndiyo maana hata ukiwa umekaa chumbani kwako, hakuna mtu aliyekufa, unaweza kufikiria kuhusu kifo, kwa sababu unaweza kuwa na dhana ya kifo kichwani mwako,unaelewa hilo?
Ndiyo maana hata ukiona ndege ambaye humjui anatoka damu, hujawahi kuona ndege huyu akifa, lakini unaweza kudhani kwamba ndege huyu akikosa msaada na kuendelea kutoka damu atakufa.
Unaweza kufikiri hivyo kwa sababu unaelewa dhana ya kifo.
Unaelewa hilo?
Sitaki kukupa jibu langu tu.Bro ! Unaudhaifu mkubwa sana katika lugha. Unayosema si kweli. Tatizo la watu kama nyiw ni udhaifu wenu wa kuelezea mambo.
Bro,unajua dhana ni nini ? Nataka nikusaidiedie kwa kukupa mifano katika matumizi ya neno dhana katika maisha yetu ya kila siku,ili ujue wapi linatumika na wapi halitumiki.
sasa nataka ujihukumu mwenyewe kwa yale uliyoyaandika hapo nyuma,chagua maana yoyote ubayoitaka kisha uoanishe na kile ulichokiandika hapo nyuma.Sitaki kukupa jibu langu tu.
Nimefungua kitabu. Kinaitwa "Kamusi Kuu ya Kiswahili", Baraza la Kiswahili la Taifa, Longhorn toleo la 2015.
Ukurasa wa 167
Dhana
a. Wazo lisilo bayana
b. fikra alizonazo mtu kichwani
Fikra, wazo, hisia, taamuli, tafakuri
Unataka kubishana na kamusi?
Nimefungua kitabu. Kinaitwa "Kamusi Kuu ya Kiswahili", Baraza la Kiswahili la Taifa, Longhorn toleo la 2015.Bro nipo humo humo tatizo huelewi,sa
sasa nataka ujihukumu mwenyewe kwa yale uliyoyaandika hapo nyuma,chagua maana yoyote ubayoitaka kisha uoanishe na kile ulichokiandika hapo nyuma.
Halafy nitakupa ni ipi asili ya tamko dhana,na wenyewe huwa wanalitumia vipi.
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
usinitajie vichekesho vya sayansi ya kwenye quranUngalijua kuwa Qur'an aliyofunuliwa Muhammad (saw) imejaa sayansi na waanzilishi wa sayansi ya leo walikuwa ni wafuasi wa Muhammad (saw) wala usingaliongea kasha kama hiyo, unatakiwa usome historia badala ya kutoa kashfa kwa hao watakatifu ambao dunia leo inawapa heshima kubwa kwa yale waliyofanya kuleta ustaarabu duniani.
hahaha kuna mtu niliwahi kumwambiaga hivi akaishiwa na hoja aiseendege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
Nyabhingi umejibiwa comment #90ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
majibu nimeyaona
natumaini umeyaelewa na amejkbu kwa maarifa makubwa [I never had in mind]majibu nimeyaona
nimesahau alijibu nininatumaini umeyaelewa na amejkbu kwa maarifa makubwa [I never had in mind]
Eti dunia ni duara, hahaha dunia inazunguka. Pumbavu kabisa hawa jamaa.upungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
unachangia jukwaa lenye watu tofaut na level tofaut za kielimu kama hujui ni bora ukae kimya hapo kwenye proton na electron kasome models hizi bohr atomic model na quantum atomic model utaelewa ndo urudi kuchangia tena!Upungufu wa sayansi upo kwenye swala haswa kuwa imeundwa kuuliza maswali na si kutoa majibu ya maswali husika.
Mifano mingi ipo ya jinsi ambavyo sayansi inashindwa kujibu maswali yake yenyewe, kama kwanini proton na electron kamwe haziachi kuzunguka nucleus au kwanini sayari hazitoki kamwe katika mhimili wake na kadhalika. Hivyo sayansi badala ya kutatua matatizo yaliyopo inazua mengine zaidi na mzunguko huu huwa endelevu. Ushauri wangu ni sayansi irudi katika misingi na kukubali uwepo wa mpangilio katika ulimwengu na Aliye uweka mpangilio huo na ndipo sayansi itaweza kupiga hatua.
Sayansi imeshindwa jambo moja la msingi sana ambalo ni
1. KUHAISHA.
Sayansi imeshindwa kutengeneza Uhai, iwe wa mnyama au mmea.
dini ni imani na kamwe sayansi haijajitenga na dini tatizo ni vigumu kuprove na ndo maana kuna baadhi ya vitu kama chanzo cha uhai hadi mungu amehusishwa ref. theories of origin of the universe.
kwenye sayansi kuna laws and theories ukisikia theory ujue haijawa proven na unaweza kuichallenge otherwise au kuiboresha lakini still vizazi vijavyo vinatakiwa kusoma hata yenye mapungufu
Mfano theories of evolution kuna akina lamark,darwin,neo-darwinism and co kila moja utajifunza strengths zake na weakness pia.
Ukija kwenye laws mpaka iitwe law ujue lazima kuna proof ila sababu wengi humu either wameishia ordinary level kwenye sayansi au ushabiki wa kidini wanajitoa ufahamu.
Kuna mifano mingi sana sayansi ya akina aristotle siyo sawa na ile ya akina Einstein.