mkuu wakati wako wa kufahamu uhalisi ukifika utakujaelewa,saivi bakia kuwa na usmati wa kukariri na kuamini scientism, ili uendelee kuwa smati lazima aumini kila kinachesemwa wala huwezi ku-question proof.vitabu vya dini vimekulemea kichwani ukichanganya na urojo unaopiga kila siku huezi experience proof yoyote ndo utaelewa za kuletewa!....tusichoshane #urojoeffects
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Batili ni ile inayoukosoa ukweli kwa maslahi ya uongoNitajie elimu batili kama mbili au tatu hivi na elimu sahihi kama tatu hivi au mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sijui wapi unapata shida au hufahamu unachokijua, gravity mpaka sasa bado ni theory wala haina proof na haijawahi kuwa na proof katika ulimwengu wa scienceNmepitia michango hata nusu yake sijafika ila nimepata dukuduku ikabidi nilitoe. Watu wanaandika tu kishabiki bila ya kujua. Wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ambayo ayahitaji siasa..! Mtu anataka proof ya uwepo wa gravity (unamsaidiaje mtu kama huyu?) Maana hapo inaonyesha kuwa kuna stage katika ukuaji wa kupata knowledge aliruka (aidha kwa makusudi au kwa mfumo mbaya wa utoaji elimu wa tanzania)
Tatizo letu hatujui mambo but tunaleta issues za mabaraza ya kahawa..! Kila kitu tunajifanya tunajua..! Hivi mnadhani mpaka kitu yako ikubarike kisayansi huwa ni issue rahisi eeeh?! Tusipende kuropoka tu.
JF inasifika kwa kuwa na great thinkers ila kwa hapa naona ni ujinga uliopitiliza..! Soma vitu, kama huna vitabu mambo mengi yapo kwenye internet soma hata huko. Kama wewe form four ulikwenda kukua nyamaza kimya..! Kama form four ulisoma arts kaa kimya maana mambo mengi mnayoleta michango ya aibu yamefafanuliwa vizuri sana kwenye elimu ya odinary level (Physics, Chemistry, Geography na hata Biology)
Yaani wanaandika watu wengine AIBU napata mimi daah..! Hii hatari..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo lako hautaki ubongo wako uwe huru kuchunguza na kubaini ukweli umefungwa kifikira na mapokeo uliyonayouelewa wangu unakuwa mdogo kivipi,kila kitu nilokisema hapo hakina scientific proof bali ni imani tu,wewee una uelewa wa kiasi gani mpaka ukaweza kuupima uelewa wa mtu mwengine,lete hizo proof basi
Hayo yanakuwa ni mawazo binafsi ya baadhi hayana maana kuwa mawazo ya wanasayansi wotePale wanasayansi wanaposema hakuna Mungu! R.I.P sayansi....
hapana haipo hivo hata kidogo mimi nlikuwa muamini mkubwa sana wa science mpaka nikafika pahali kutaka kujua uhalisi ndio nikaiona dunia jinsi upotoshaji unavyozitawala akili zetuMkuu tatizo lako hautaki ubongo wako uwe huru kuchunguza na kubaini ukweli umefungwa kifikira na mapokeo uliyonayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni aibu tupu kuna michango mingi kwenye hii thread unaeza fikiri wachangiaji hawana ubongoNmepitia michango hata nusu yake sijafika ila nimepata dukuduku ikabidi nilitoe. Watu wanaandika tu kishabiki bila ya kujua. Wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ambayo ayahitaji siasa..! Mtu anataka proof ya uwepo wa gravity (unamsaidiaje mtu kama huyu?) Maana hapo inaonyesha kuwa kuna stage katika ukuaji wa kupata knowledge aliruka (aidha kwa makusudi au kwa mfumo mbaya wa utoaji elimu wa tanzania)
Tatizo letu hatujui mambo but tunaleta issues za mabaraza ya kahawa..! Kila kitu tunajifanya tunajua..! Hivi mnadhani mpaka kitu yako ikubarike kisayansi huwa ni issue rahisi eeeh?! Tusipende kuropoka tu.
JF inasifika kwa kuwa na great thinkers ila kwa hapa naona ni ujinga uliopitiliza..! Soma vitu, kama huna vitabu mambo mengi yapo kwenye internet soma hata huko. Kama wewe form four ulikwenda kukua nyamaza kimya..! Kama form four ulisoma arts kaa kimya maana mambo mengi mnayoleta michango ya aibu yamefafanuliwa vizuri sana kwenye elimu ya odinary level (Physics, Chemistry, Geography na hata Biology)
Yaani wanaandika watu wengine AIBU napata mimi daah..! Hii hatari..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kukuelewa katika michango yako kwanini usiuweke ubongo wako huru,?mkuu wakati wako wa kufahamu uhalisi ukifika utakujaelewa,saivi bakia kuwa na usmati wa kukariri na kuamini scientism, ili uendelee kuwa smati lazima aumini kila kinachesemwa wala huwezi ku-question proof.
Huo ndio uwezo wake wakujenga hojaHata msingi uliotumia kujenga hoja ya mapungufu ya sayansi nao ni wa kisayansi. Sayansi is too broad concept labda ungejaribu kuwa specific kuliko kuwa too general mpka tunashindwa tuanze na which wing of science katika kujadili hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tuanze tu hapo kwenye maana ya theory. Naomba ujue kuwa kuna neno Theory na pia kuna Scientific Theory, hizi terms huwa zinawachanganya sana watu wa aina yako. Na huwa nasikitika sana kama base ya hoja zako za kutokukubaliana na science zikiwa ni juu ya hizi terms;mkuu sijui wapi unapata shida au hufahamu unachokijua, gravity mpaka sasa bado ni theory wala haina proof na haijawahi kuwa na proof katika ulimwengu wa science
mpaka leo hii hakuna chombo chochote kiloweza ku-detect motion ya mizunguko ya dunia kwa hio hakuna proof kuwa dunia inazunguka au jua ndio linazunguka its just theorizing tu
tunaamini vitu bila ya kujiuliza wala kutaka kuona proof
Siku ukiuacha ubongo wako uwe huru utatamani kufuta michango yakomkuu sijui wapi unapata shida au hufahamu unachokijua, gravity mpaka sasa bado ni theory wala haina proof na haijawahi kuwa na proof katika ulimwengu wa science
mpaka leo hii hakuna chombo chochote kiloweza ku-detect motion ya mizunguko ya dunia kwa hio hakuna proof kuwa dunia inazunguka au jua ndio linazunguka its just theorizing tu
tunaamini vitu bila ya kujiuliza wala kutaka kuona proof
Hahahaha mkuu nimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniangalia. On a serious note, huu uzi ungekaa masaa 24 tu then ukafutwa..! The level of stupidity iliyoonyeshwa hapa ni ya kiwango cha raia wa marekani wale wapenzi wa Trump..!Siku ukiuacha ubongo wako uwe huru utatamani kufuta michango yako
Sent using Jamii Forums mobile app
ZENJIBAR Hawezi kukuelewa maana amefungwa na itikadi za kimapokeo.Kwanza tuanze tu hapo kwenye maana ya theory. Naomba ujue kuwa kuna neno Theory na pia kuna Scientific Theory, hizi terms huwa zinawachanganya sana watu wa aina yako. Na huwa nasikitika sana kama base ya hoja zako za kutokukubaliana na science zikiwa ni juu ya hizi terms;
Embu angalia hapa (wikipedia)
A scientific theory is an explanation of an aspect of the natural world that can be repeatedly tested, in accordance with the scientific method, using a predefined protocolof observation and experiment. Established scientific theories have withstood rigorous scrutiny and embody scientific knowledge.
The definition of a scientific theory (often contracted to theory for the sake of brevity) as used in the disciplines of science is significantly different from the common vernacular usage of the word theory. In everyday speech, theory can imply that something is an unsubstantiated and speculative guess, the opposite of its meaning in science.
These different usages are comparable to the opposing usages of prediction in science versus common speech, where it denotes a mere hope.
Kwanza naomba uniambie kama umeelewa utofauti wa hizo terms mbili..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mnaleta majibu mepesi ya kisiasa ?Sayansi ina kikomo cha hoja.
Huo sio upungufu upungufu ni pale pasipotimilikaPungufu lake kubwa " no research no right to speak "
sawa tuchukulie hivyo kuwa scientific theory na scientific proof ni sawaKwanza tuanze tu hapo kwenye maana ya theory. Naomba ujue kuwa kuna neno Theory na pia kuna Scientific Theory, hizi terms huwa zinawachanganya sana watu wa aina yako. Na huwa nasikitika sana kama base ya hoja zako za kutokukubaliana na science zikiwa ni juu ya hizi terms;