name of names
Member
- Aug 13, 2015
- 35
- 5
Wadau salaam. Nimeona tu nitoe mtizamo wangu juu ya zoezi la usafi linaloendelea hapa nchini.
Rais wetu mpendwa Dr. John P. Magufuli amefanya jambo la maana sana kwamba siku hii ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tutumie kwa kufanya usafi wa mazingira yetu.
Hofu yangu ni watu waliowengi wanatekeleza agizo hilo bila kuzingatia uchafuzi wa hali ya hewa.
Kila kona hapa jihini dar kumetanda moshi. Tusije tukasafisha ardhi tukachafua anga.
Vyote viende pamoja, usafi wa mazingira bila kusababisha air pillution.