Je, ni sawa DSTV pekee kupewa uhalali kuonyesha CNN?

Je, ni sawa DSTV pekee kupewa uhalali kuonyesha CNN?

DSTV majanga vifurushi vimepanda being ile mbaya, juzi nimelipa 80,000. Roho inauma

kama una mtu south Africa anunue complete akutumie na ikiwa imelipiwa kule gharama ni ndogo sana,ila ikiisha lazima ulipie kule tena,na pia unapewa bonus ya mwezi bure kama umelipa miez mitatu kwa pamoja.nashangaa kwetu ni maskini gharama kubwa kuriko kwao matajiri.
 
Back
Top Bottom