Ikitokea rafiki ako kaachana na mpenzi wake na wewe ulikuwa unajua ni wapenzi...!! Lakini umetokea kumpenda huyo mdada kwa wanaume au mkaka kwa wanawake je ni sahihi kutoka nae na wew!?? Kama si sahihi kwa ninii...

Kula ni kula tu mbaya ni kukomba mboga.mapenzi ni kama kiti cha basi akishuka mtu anapanda mtu na kukaa akishuka tena anapanda mwingine ngoma inogile hainaga makombo hiyo
Nimepata tabu sana na hili. Wapenzi wa marafiki zangu walijilengesha mno baada ya kukosana na ma bwana zao.
Sema sikutaka vunja urafiki ilibidi nitie upole wa kutokuwa na meno kama bunge la awamu ya tano.