Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.
Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.
Kama mtu unahofu ya Mungu na dhamira inakusuta ni wazi kuna siku utajiropokesha tu maana itakutafuna ndani kwa ndani mpaka ukisema,ndo utaskia ka roho kametulia, ila ndo ujiandae kupoteza kwa mwenzako.
Watu wengi hawawezi kusema hasa wabongo ila kwangu nipo tofauti sana, nina uwezo wa kumwambia ukweli na kujutia upande wake. Mama Zakaria sijui kama anaweza kuniambia ngoja nimuulize
Hivi nyie dhambi mnayoijua ni kuchepuka tuu? Mbona sijawahi kuwaona mkijipeleka polisi kwenda ku confess mnavyopokea rushwa maofisini, mnavyopiga madili, mnavyodhulumu watu, mnavyoibia wateja/waajiri, mpaka mmetajirika mmejenga majumba, magari makali nk?
Mtu mwenye akili timamu huwez kuconfess maana huyo mke hajakuuliza wala hajahisi chochote we unaenda ku confess ili iweje? Hata akikufuma red hendedi bado unatakiwa ubishe kwamba sio wewe na utafute wa kumsingizia hata shetani au nani sio una confess..!! Kama una roho ndogo ndugu stick to your wife usijiingize kwenye shughuli za michepuko.
Kama unataka ndoa iote magurudumu nenda kaconfess kwa mkeo umecheat, ndio utajua madhara ya corona yapo vipi..
ukicheat nenda katubu piga kimya maisha yaendelee, unaenda kumwambia ujifunze nini?
Kwa upande wa imani ikoje? Ni sawa kuficha jambo hilo huku unafanya toba?Unasema ili iweje. Kufa na siri yako hakuna siri ya watu watatu. Baki na siri na huyo ulichepuka naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.Truth will set you free but first it will piss you off
Hapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.Kwa upande wa imani ikoje? Ni sawa kuficha jambo hilo huku unafanya toba?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwaHapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.
Kama mtu unahofu ya Mungu na dhamira inakusuta ni wazi kuna siku utajiropokesha tu maana itakutafuna ndani kwa ndani mpaka ukisema,ndo utaskia ka roho kametulia, ila ndo ujiandae kupoteza kwa mwenzako.
Mkuu acha uhongorr...Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwa
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hao wazungu uliishi nao wapi? Linapo kuja swala la mahusiano we are all the same.Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwa
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwa upande wa imani ikoje? Ni sawa kuficha jambo hilo huku unafanya toba?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwa
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Fair enough sirWako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.
Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ivi kwa hali ilivo sasa, Mnawapa wapi nguvu za kuwasaliti wa penzi / Wake /Waume wenu??
Mbona kama Kumaa niile .ile...mbooo niile ile.
Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.
Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk