Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,255
1,268
Habari wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, mimi nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8, uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa.

Tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana, kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana, yaani nishapenda.

Je, swali langu ni sahihi? Tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Sio sahihi, tafuta binti wa miaka 19 ndio umuoe
 
Kama umempenda muoe TU maana age is nothing but a number is

Usitazame watu wanataka nini Ila tazama wewe Unataka nini .

Jambo la kuzingatia unapofanya maamuzi ya kuoa kaa chini tafakari kwa kina Sana Mtazame huyo mwanamke After 20 years mbele.

Tazama usalama wa watoto wako.

Tazama uwezo wake wa akili na maarifa uwezo wa Kutoa na kupokea

Tazama background ya familia yake DNA , je hawana magonjwa ? Je wanaishi miaka mingi? N.k

Be conscious be smarter
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Kwenye hiyo miaka 8 aliyokuzidi mmeweza fanya kila kitu ambacho watu wakioana wanafanya sasa iweje kufunga ndoa mshindwe? Oa lishangazi hilo
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Usahihi wa kufunga ndoa, unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO (kupendana) na umri unaokubalika katika jamii wa kuoa ama kuolewa.

Hata kama amekuzidi miaka 30 as long as Mnapendana OANENI
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Bahari anapenda Mteremko? Sema tu unataka pesa zake huyo Manzi
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa,

Tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Ana hela za kutosha?
 
Back
Top Bottom