Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila mechi na kuifanya timu yake kuendelea ku-shine pale kileleni kwenye msimamo wa ligi yao. 😂😂Hata mikeka yangu pale Sokabet ilitiki sana kipindi iko!
Ila yanayoendelea sahivi nabaki nashangaa:
❌ Al-Nassr Wametolewa kwenye Riyadh Super Cup
❌ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi Super Cup
❌ Al-Nassr Wametolewa kwenye nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi yao
❌ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi King Cup