Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
mdogo wangu huyo akinikera si namchapa tuAna kukera eenhe
mdogo wangu huyo akinikera si namchapa tuAna kukera eenhe
Sawa sawamdogo wangu huyo akinikera si namchapa tu
WapiSawa sawa
Kachangie uzi wa vibonge kule
tumia akili,,,ndio ni uzi wa mwaka jana ila ni mwezi wa ngapi??...Kweli Bongo Kuna Vichwa Maji wengi Mada ya Mwaka Jana,, Baharia katoa Ushauri Wake Leo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
😃siku hizi wanaambiana kama sio mmeo acha nguo ajifulie mwenyewe na chakula apike mwenyewe, na we kama sio mkeo hela za matumizi akamuombe babaake.
Wadau je ni lazima kumgaramia mpenzi wako wa kike kwa kila kitu mnapokua ktk hatua ya urafiki na uchumba?
Mathalani kumnunulia sim,kumlipia kodi & billz,zawadi za hapa na pale ilihali hautambuliki kwao! Je ikitokea akakumwaga na umewekeza kwake je waweza ku muv on na ukwamwacha na asset ulizomnunulia? Au ndo utampokonya?
Kusema kwel ktk hatua hii ya uchumba wanaume tunatumika sana mpaka tunasahau kununua boxer! Kwangu mimi binafsi hua sielewi mana kuna mwengine ukiwa nae ktk mahusiano hataki umgaramie,ila sasa kuna walee..sim yangu ipo kwa fundi,mama anaumwa,nitumie ya chai,nataka kusuka,mwengine akija gheto ndo anafungasha unga,sukar mpaka mafuta!
Hii ya kufungasha vitu ulivovikuta ndan sio tabia nzur hata kidogo,wengine wanachuku ampaka t shirt,pazia na mashuka!
nimehangaika na mtu miaka kumi leo hii na kumfanyia kila kitu but mwaka huu last week kaniambia kaoa mtu mwngineKama ni uchumba hule wa zamani basi hata usipo mgharamia hakuna shida kabisa.
Lakini kama ni uchumba wa kisasa ambapo uchumba/urafiki unaambatana na kila kitu wafanyacho mme na mke lazima kumgharamia ndiyo.
Yaani ukitaka sex unamwita anakuletea unatia. Ukitaka apike, afue, nk anakuja na kufanya yote hayo alafu eti usigharamikie huyo binti atakuwa siyo wa kisasa kabisa na hafai kuwa mke. Yaani analiwa na kutumikishwa bure bure.
Mchumba wa hivyo yaani mchumba with marital benefit hata mkitibuana kila mtu akaenda njia yake kidume huna haki ya kumdai chochote maana mlikuwa mnapeana. Yeye anakupa nonino yake unamfukua kama mke wako na wewe unagharamia kama mme wake.
Ukiona umekaa kwenye uchumba Zaid ya miaka mitatu hujue hapo hakuna ndoa mna potezeana muda tu tena ukute hamja fanya malengo yoyote ya kiuchumiso huu ujinga wa kumfanyia kila kitu as a wife sitofanya tena kwa mahusiano ya jao
Miaka kumi? Mlikuwa hampendan mlikuwa mna potezeana muda ili mmoja wapo akipata mtu sahii amuache mwenzake.nimehangaika na mtu miaka kumi leo hii na kumfanyia kila kitu but mwaka huu last week kaniambia kaoa mtu mwngine
unamuhudumia kwa kila kitu kwenye yeye hana shughuli ya kufanya? kwani yeye ni mkeo kama ni mkeo ndio unafull responsibility ya kumhudumia bila hivyo hakuna una msaidia vitu vidogo kama vocha mara moja kwa mwezi hata kama una uwezo unabana maana hujui anachowaza siku akikuacha trust me hela zako zitakuuma kuliko hata kuachwa kwenyewe motto; kama hujamvalisha pete ya ndoa sio jukumu lako yuko chini ya wzazi wakeWadau je ni lazima kumgaramia mpenzi wako wa kike kwa kila kitu mnapokua ktk hatua ya urafiki na uchumba?

Umeanza