Acha mawazo finyu ya kuamini vitu visivyo na misingi thabit. Leta hoja zenye msingi kwa manufaa ya watanzania. Ikiwa laana au baraka haitusaidii wala haileti manufaa kwa wa tz.
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia CHItanda ofisini.
Je ni laana?
CHADEMA walitakiwa kuongoza kambi ya upinzani lakini mizengwe ikafanyiwa ba kina H. Rashid wa CUF, sasa wana mgogoro na H Rashid ametolewa kwenye uongozi.
Je ni laana?
Naamini wenzangu kuna mengine mengi toka wakati wa uchaguzi ambayo yametokea kuhusu CHADEMA kuonewa..................................endeleza.
labda manchester pia waliwatendea kosa CHADEMAHebu nikumbushe kati ya BARCELONA na MANCHESTER nani alishinda vile ?