Je ni kweli

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Kuwa Tanzania ndio nchi pekee duniani inayoongoza serekali kwa kutumia nguvu za giza, na kuloga wananchi wake ili wasijue haki zao na kuzidai. eti kuna wakatiu hata bungeni walimwaga unga mweupe ili kuwapumbaza wabunge ndio maana wabunge wote waliokuwa bungeni kipindi kile ni mazoba hawajui wanachoongea wakitoka nje ya bunge aklili zinawarudia wakiingia tu bungeni akili zinahama.
Isipokuwa wabunge wa chama kimoja kinachoanza na mungu na kitamaliza na mungu ndiye anawasaidia akili zao kubwa zinatawaliwa na akili ndogo za kichawi?
wakitetea jambo wanaonekana kama wakaiidi
kama unajua lolote kuhusu hilo utujuze


PIA KUNA TETESI AMBAZO BADO HAZIJATHIBITISHWA :
Kuwa ukiingia mjengoni kwa lengo la kuongea kitu cha maana siku hiyo lazima usingizi ukupitie. au unaona nyoka akitaka kukugonga. tetesi hizi ni kwa mujibu wa wahudumu wa bunge wanaolishwa viapo kutokutoa siri zozote za mjengo lakini mmoja wao uzalendo umemshinda
 
Mh!!!!!!!!
Hii kitu bila shaka ungeitafutia nyama na ushahidi ingefaa sana jukwaa la siasa!!!
 
duh nlianza kushangaa jokes gani hii ndefu hv! Kumbe umekosea njia! Haya! karibu lakin kitalolo!
 
Back
Top Bottom