Ni kweli kabisa maneno hayajazi tumbo wala kuvisha nguo. Halahala wasije wakaingizwa mkenge. Cuba ilitaka kutawaliwa na Mafioso, Fidel akawafukuza sasa wasije wakatafuta gia nyingine ya kukiendesha kile kisiwa. Kule Amerika ya Kusini wanawachagulia viongozi nani atawale na nani ang'olewe. Unaiona Vienezula, walikuwa na hali nzuri sana kipindi cha Hugo Chavez, sasa nchi imeigiliwa na USA uchumi umeanza kudorala.