Je, Ni kweli Wahindi ndio wanaoshikilia uchumi hapa Tanzania?

Hilo jambo ni "bila shaka"
Tokea karne ya ishirini wahindi ndo wanaoongoza ktk Uchumi na kuwa na Tajiri mwenye capital ya juu kbs duniani..

Mr. Ambani
Mukesh Ambani tops Forbes Indian billionaires list, Bill Gates ...
 
Sio kweli....wanashikilia
ila ukweli ni kuwa wana nguvu zaidi kulinganisha na idadi yao

Zamani walishikilia zaidi ya asilimia 80
now waswahili nao wameamka

wahindi wanashikilia asilimia kubwa..labda 55 hivi ya uchumi wa TZ lakini
nguvu yao inazidi kupungua

Bado serikali ndio 'mfanyabiashara' mkubwa zaidi katika uchumi wa TZ....
 
kama uchumi wetu unaendeshwa na viwanda basi wahindi wameushika kwa uhakika,huwezi kuuyajua haya ila uwe unaishi Dar kwenye viwanda karibia vyote vya dar wamiliki ni wahindi waswahili sisi ni wachache sana ,kuna wahindi nchi hii hawana majina kabisa lakini ni matajiri wa kutupwa,wanamiliki mali za ajabu,fanya research kidogo kwa Dar utaujua ukweli wa hii kittu
 
Back
Top Bottom