Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Huwa najiuliza maswali mengi sana ambayo labda leo naweza kupata majibu yake hapa..
Nimekuwa nikiwasikia watu maarufu kama wasanii au watu waliofanikiwa kimaisha au kama ni msanii amefanikiwa na kufikia kiwango fulani cha kuweza kujimudu kimaisha, wakiwa wana hojiwa "kufanyiwa interview "mara nyingi na wengi wao huwashukuru sana mama zao kuwa ndio mchango mkubwa mpaka kufikia hapo walipo,
Swali, Je ni kwanini huwa hawa'washukuru baba zao na unakuta ana baba na mama ni kwamba wababa hawapendi maendeleo ya watoto wao au sababu huwa ni nini hasa ni mara chache sana utasikia mtu aliyefanikiwa akitoa credit kwa baba yake..
Naombeni mawazo yenu..