John porter
Member
- Jul 8, 2013
- 65
- 28
Habari wana jamvi.
"Mzungu ana akili kuliko muafrika",
"muafrika hawezi, hana uwezo wa kuwa mbunifu",
"Muafrika daima ataongozwa sababu hana akili",
"Weusi ni laana"
Hizo ni baadhi ya kauli za watu wakijaribu elezea jinsi gani kuwa sisi waafrika tupo nyuma kwa kila kitu na tutaendelea hivyo, NAPINGA. kwa hoja ifuatayo:-
Naamini kabisa uwezo wa kufikiri na ubunifu huchangiwa moja kwa moja na mazingira halisi yaliyo mzunguka. Mfano, serikali za kiafrika zitaendelea kuwa duni sababu ya kutegemea pesa za misaada hivyo viongozi hawajishughulishi zaidi kufikia uwezo wa kujitegemea sababu wanajua ipo pesa itakayosaidia(misaada) kama sio kujazia bajeti zetu.
je mwana jamvi mwenzangu una lipi la kuchangia juu ya mtazamo huu.