Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
140
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi.
wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili kutoa raha kwa mpenzi.
nijuzeni basi kama hili ni kweli ili nami nitafute wakwangu mfupi...........!
 
mwe mwe mweeeeeeeeeee dont dare.......!!!!!!!
wanaume WENGI LAKIN SI WOTE wafup wana tabia izi:
--wana gubu...kitu kdg atakikuza icho mpk utashangaa
--hawajiamin na ikiwa umempta urefu ndo kabisa anahisi km unamdharau..unamwona mtoto ..unamchukulia poa
--wagomvi ..wanapenda bfu ao usipime..i inatokana na kudhani haeshimiwi sasa katika kuonyesha uanaume wake ndo apo sasa makonz nje nje
--hawana comprmise..MIMI NDO KICHWA CHA NYUMBA ..mimi mwanaume nshasema..i inatokana na infrty cmplx
KUHUSU MFYAGIO mmh sijui manake minajuana ile kitu ina ratio na mwili wa mdau mtu mrefu likell akawa na...mtu mfupi atakuwa na....mtu mnene+ktambi kikubwa+mfupi likelya takuwa na .....
 
Kwani mama wa kwanza hadi ukawa First Lady si unaye wako tayari?

Umempiga chini ?
 

Mhh kumbe!!!
 
TM- kwani kunamtu asiyetaka kuyafurahia mapenzi?km mfupi ndo safi we niambie nitangaze nafasi
 
Mwee!
 
Rose yawezekana kweli wakawa na gubu lakini km kitandani wako vizuri yaweza kufuta haya yote.kuhusu vitambi hata ukiwa mrefu na ukawa nacho lazima kipunguze saizi.
onyo........wafuga vitambi muache sababu mtabakia na penseli
 
Du ya andunje mwachie andunje, hii kitu inahitaji wadada wenye kapirience!
Kwani FL1 umekosa mapenzi motomoto kwa mrefu wako? acha kubeep bana!
 
Rose yawezekana kweli wakawa na gubu lakini km kitandani wako vizuri yaweza kufuta haya yote.kuhusu vitambi hata ukiwa mrefu na ukawa nacho lazima kipunguze saizi.
onyo........wafuga vitambi muache sababu mtabakia na penseli
true madamu.
bt ebu chek
mtu mrefu ana kitaaaaaaamb ichoo vs mtu mfuuuuuuuuuuup ktamb ichoooo..
ilekitu itashrink sana kwa mfup yap kwa mrefu itadidimia pia lakn si kiivo..
mdwaf kitamb mbele apana aseee...ahh afu kwa kukoroma aooooooo weeeee hawafai NASKIA KWA JIRAN YANGU JINS JAMAA ANAVYOKOROMA UKIMCHEK ASUBUI UYO MTU MFUP KM KIKOMBE CHA KAHAWA TUMBO KULEEEEEEEEEEE KUSEMA KAKIMBIA LEBA..ahh stak mie..
 
Wiselady inamaana hujasikia hata kidogo.....?

Kwa maujuzi ya kitandani,nope!lkn hayo magubu nimeskia na kidogo nimeona watu wa aina hiyo wako hivyo,wengi wakorofi sasa sijui ni kutokujiamini au ni nini!
 
Duh..leo kweli weekend...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…