Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 902
- 1,924
Putin analeta utani etyVladmir Putini na hujui nuclear weapons inafanyaje kazi?
Putin wa SingidaPutin analeta utani ety
Putin anajiganya ajui kituππSasa wewe ndo Putin afu unatuuliza sisi?
Si ndo hapo sasaPutin anajiganya ajui kituππ
Vladmir Putini na hujui nuclear weapons inafanyaje kazi
kwa kiasi flani umenijibu swali langu.Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.
Mfano zikirushwa kutoka Marekani kwenda Urusi, basi mifumo iliyo ya kiotomatic ya s400 inaweza kuzitambua na kuzisambaratisha zikiwa umbali wa kilomita 0-400 kutoka kwenye mipaka ya Urusi.
S450 na s500 inaweza kuzitambua na kuzilipua zikiwa angani umbali zaidi ya hapo.
Vivyo hivyo upande wa pili wanayo mifumo yao ya patriot, thaad, iris nk.
Lakini kumbuka upande wa pili hawawezi kudondosha silaha zenye speed kali (hipersonic) kama alizo nazo Urusi, China na Iran. Hivyo ikitokea la kutokea kila mwenye utimamu anaelewa mizani imelalia wapi.
Tukumbuke pia zikilipuliwa zikiwa mbali sio kwamba hazitokuwa na madhara kwa binadamu, bali mionzi itaendelea kuwakaanga viumbe wanaoishi chini ya anga ambalo silaha hizo za nyuklia zimelipuliwa na mifumo ya ulinzi zikiwa bado angani.
Chukulia mfano limetumwa bomu la nyuklia kutokea Uingereza likielekea Urusi, ila mifumo ya ulinzi ya Urusi iliyo kwenye ardhi ya Kaliningrad ikalilipua likiwa juu ya anga ya Poland, Germany, au Latvia, basi wananchi, mimea, wanyama na wadudu wa maeneo hayo itabidi wapambane na mionzi ya nyuklia huku walengwa ambao ni warussia wakiendelea kula bata.
Kwenye vita moto kwa kizazi hiki inatakiwa uweze kuzuia silaha za adui kabla hazijafika kwako, na jambo la pili inatakiwa uweze kufikisha moto kwa adui wakati wowote ukihitaji.
Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto.
Fattah ya Iran ina speed mara 3 mpaka 5 ya sauti (Yaani March 3-5).Nuclear bomb ni bomb km bomb lolote ila kinachobeba ilo bomb zile missile ndio inatakiwa uziintercept sasa just imagine mfano hypersonic aliyozindua juzi Iran inakwenda speed zaidi ya sautiπ€£π€£π€£ππ
Yaani nikiita putin kabla hujasikia ushakula chuma tiari
Tuelewane kitu kimoja! Kinacholifanya liitwe bomu la nyuklia ni ile urenium iliyomo ndani ya tumbo lake ambayo imepitia kiwandani katika mahesabu maalum.kwa kiasi flani umenijibu swali langu.
lakini majibu yako yanaonesha kwamba yanazuilika iwapo yatawahiwa kabla ya kufikia target husika.
lakini kisayansi naona wanasema kana kwamba hamna Air defence ya kuzuia kombora la nuclear.
hii maana yake ni inaweza kupenya mfumo wowote wa ulinzi wa anga
Nani kakueleza kuwa m-U.S.A hana hypersonic missile au kwavile yeye hafanyi show off......Ngoja mrusi ajichanganye,kwani nani alifahamu kuwa mjapani angelikuja kulia kama mtoto?....Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.
Mfano zikirushwa kutoka Marekani kwenda Urusi, basi mifumo iliyo ya kiotomatic ya s400 inaweza kuzitambua na kuzisambaratisha zikiwa umbali wa kilomita 0-400 kutoka kwenye mipaka ya Urusi.
S450 na s500 inaweza kuzitambua na kuzilipua zikiwa angani umbali zaidi ya hapo.
Vivyo hivyo upande wa pili wanayo mifumo yao ya patriot, thaad, iris nk.
Lakini kumbuka upande wa pili hawawezi kudondosha silaha zenye speed kali (hipersonic) kama alizo nazo Urusi, China na Iran. Hivyo ikitokea la kutokea kila mwenye utimamu anaelewa mizani imelalia wapi.
Tukumbuke pia zikilipuliwa zikiwa mbali sio kwamba hazitokuwa na madhara kwa binadamu, bali mionzi itaendelea kuwakaanga viumbe wanaoishi chini ya anga ambalo silaha hizo za nyuklia zimelipuliwa na mifumo ya ulinzi zikiwa bado angani.
Chukulia mfano limetumwa bomu la nyuklia kutokea Uingereza likielekea Urusi, ila mifumo ya ulinzi ya Urusi iliyo kwenye ardhi ya Kaliningrad ikalilipua likiwa juu ya anga ya Poland, Germany, au Latvia, basi wananchi, mimea, wanyama na wadudu wa maeneo hayo itabidi wapambane na mionzi ya nyuklia huku walengwa ambao ni warussia wakiendelea kula bata.
Kwenye vita moto kwa kizazi hiki inatakiwa uweze kuzuia silaha za adui kabla hazijafika kwako, na jambo la pili inatakiwa uweze kufikisha moto kwa adui wakati wowote ukihitaji.
Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto na wakati huohuo mlengwa akirudisha moto mkali zaidi kule bomu lilikotokea
Shida ya hili kombora ni kwamba ata kama utalilipua mionzi yake itasambaa na kuleta adhari,kumbuka ni la mionzi na gesi sumu..Hi guys π
Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani.
Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno).
Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga pale zinaporushwa kwenye target husika.
Na wasomi wengi wanasema hakutakuwa na mshindi kwenye vita vya nuclear, especially kati ya Marekani na Urusi (maana ndiyo wenye store kubwa).
Nimejaribu kutafti kwenye majarida ya kisayansi lakini nao hawajatoa majibu ya moja kwa moja.
Majibu yao yamekuwa ni "There is no specific physics formular of intercepting nuclear missile but you can challenge it".
NIkasoma zaidi wakasema kwamba, mpaka sasa hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga duniani unaoweza kuharibu kombora la nuclear ila unaweza tu kulipa changamoto labda kwa kujaribu kuligeuza mwelekeo wake, lakini hata hivo maamuzi hayo yanatakiwa yafanywe chini ya dakika 4 tu tangu kombora hilo limerushwa na tofauti na hapo huwezi kuli challenge.
Swali langu kwenu, Je ni kweli hakuna Anti-nuclear missile defence system duniani ?
Maana tumeona mokombora au silaha zingine zikidakwa na kuharibiwa na mifumo ya anga kabla ya kufikia malengo yake, ndege zisizo na rubani pia tumeona zikiharibiwa na mifumo ya anga.
Je, iweje mpaka sasa ni mwaka wa 78 tangu silaha za nuclear zimeundwa, eti mfumo wa ulinzi wa anga wa kuharibu haya makombora haujapatikana ? Wanasayansi wako wapi ?
Au walivyokufa watengenezaji kina Albert Einstein ndo hakuna waendelezaji tena ?
Nawasilisha.
Tusaidie na hili pia,kwa nn Marekani na Uingeleza na Ujerumani na Ufaransa hawana magwaride ya kuonyesha siraha na uwezo wao wa kijeshi tofauti na Urusi,China na Korea kaskazi kwenye siku maamlumu za kitaifa?Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.