marandu2010 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 1,201 Reaction score 446 Dec 26, 2013 #1 Wakuu hamjambo; kumsamehe na kuendelea na mpenzi wako hata kwa kosa la kukusaliti ni ishara kwamba una upendo wa dhati kwake.....kuna ukweli wowote hapa?
Wakuu hamjambo; kumsamehe na kuendelea na mpenzi wako hata kwa kosa la kukusaliti ni ishara kwamba una upendo wa dhati kwake.....kuna ukweli wowote hapa?
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 26, 2013 #2 hakuna ukweli .....!
C cha' JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 466 Reaction score 115 Dec 26, 2013 #3 Hakuna ukweli. akikusaliti, anategemea utamwacha, ukimwacha yeye kashinda, maumivu yanakuwa kwako. Unasamehe, unaurudisha moyo wake, kisha unamwacha. Mpira utakuwa kwake, maumivu ya maamuzi yasiyotegemewa. PLZ, don't try this @ home.
Hakuna ukweli. akikusaliti, anategemea utamwacha, ukimwacha yeye kashinda, maumivu yanakuwa kwako. Unasamehe, unaurudisha moyo wake, kisha unamwacha. Mpira utakuwa kwake, maumivu ya maamuzi yasiyotegemewa. PLZ, don't try this @ home.
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Dec 26, 2013 #4 Kama ni mwanaume ni inshara ya kwamba Wewe ni ----- ila kama ni mwanamke ni inshara ya kwamba una huruma.
Kama ni mwanaume ni inshara ya kwamba Wewe ni ----- ila kama ni mwanamke ni inshara ya kwamba una huruma.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Dec 26, 2013 #5 Ukikubali kusamehe ni ushamba WA mapenzi. Nalog off
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,460 Reaction score 987 Dec 26, 2013 #6 Kwani kusamehe mpaka murudiane?? Wewe samehe mara saba sabini lakini mwache aende zake
L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Dec 26, 2013 #7 kiruka njia mkeo.jipange one day anaweza ingiza midume ndani kwako.
pachachiza JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,875 Reaction score 2,781 Dec 26, 2013 #8 inawezekana sababu ya yeye kufanya hivyo ni wewe tabia zako mbovu so ukishagundua unaweza kusamehe